John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.

Kasema haya:

"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"

Jeshi la Magereza lakanusha;

https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4
Hivi kweli , tangu Uhuru bado watu wanajinyea kwenye mtondoo kweli ?!. Tunakwama wapi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli , tangu Uhuru bado watu wanajinyea kwenye mtondoo kweli ?!. Tunakwama wapi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye nchi zetu hizi magereza sio "Correction Facilities" ila ni vituo vya kukomolea watu ndio maana asilimia kubwa ya wanaoachiwa kutoka magereza hupoteza kabisa mwelekeo punde warejeapo uraiani.
 
Back
Top Bottom