John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

Ila tuachae utani
Lema
Sugu
Prof J
Na Makonda hawa majamaa wame hustle sanaa.
Wametoboa hata kama njia zao mmmmh
Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini Tanzania tusiwe mfano kwa magereza mengine Afrika, tubadilishe hiyo hali, wewe unaona hiyo hali inafaa? inatunza heshima ya mtu/mfungwa?

Yaani kwasababu tu magereza nyingine Afrika wanafanya, basi na sisi tuendelee..
ndio sifa ya jela, aisee!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silinde, Profesa J, Selasini, Upendo Peneza, sijawahi kuwasikia wakikamatwa na polisi wala kulumbana na serikali
 
Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Ficha upumbavu wako huko kama wew unaona huo ndo ustaatabu wenu basi ubakie ktk familia yenu. Sisi Watanzania hatuataki ujinga wenu huo. Mtu yeyote hata kama amehukumiwa kutenda kosa anabakia na haki zake za ubinadamu kama binadamu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe punga sana,mnajimwabafy halafu mnaogopa Angoni?, pathetic
Ficha upumbavu wako huko kama wew unaona huo ndo ustaatabu wenu basi ubakie ktk familia yenu. Sisi Watanzania hatuataki ujinga wenu huo. Mtu yeyote hata kama amehukumiwa kutenda kosa anabakia na haki zake za ubinadamu kama binadamu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili mpunguze ukora wenu hii hali iendelee tu kwenye magereza yetu
Sasa kwanini Tanzania tusiwe mfano kwa magereza mengine Afrika, tubadilishe hiyo hali, wewe unaona hiyo hali inafaa? inatunza heshima ya mtu/mfungwa?

Yaani kwasababu tu magereza nyingine Afrika wanafanya, basi na sisi tuendelee..
ndio sifa ya jela, aisee!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mjinga sana ,yaani mtu anaingia siku mbili jela ,anatoka halafu anajifanya kuelezea experience ya jela?,acheni umajinuni wenu
Nadhani wewe ndiye mpuzi, mwenzio anaeza experience ya jela wewe unatukana. Kwani ni lazima kila mtu ayajue maisha ya jela tangu utoto kama wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.

Kasema haya:

"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"

Jeshi la Magereza lakanusha;

https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4
ndo wasitafute kwenda huko waheshimu mamlaka zilizopo, kama wangetii agizo la polisi kutokuandamana haya yaasingewakuta, ila Ndg Mpendazoe aliwahikusema bila kupigwa na kuwekwa ndani hujakamilka kama mwana chadema.
 
Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.

Kasema haya:

"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"

Jeshi la Magereza lakanusha;

https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4

Sasa Heche alidhani Jela ni serena hotel?
 
Back
Top Bottom