Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Vipi hapo Moshi, mvua inanyesha?
Ebho..!
Hivi wafikiri wachagga wote wako Moshi..eeh?
Vipi hapo Moshi, mvua inanyesha?
Sidhani! Kule twita kwenye uzi wake wala hajibu hoja za watu, zaidi amejibu moja tu ya Maria Sarungi tena ameweka emoji hii🙏🙏🙏🙏 Zaidi ya hapo hajibu maswali ya watu wengineHuu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
Kuna ulazima wewe kuusikia mchango wa Lissu,au inakusaidia Nini ktk familia yako?Jamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.
Acha story hizo,mbona wahusika wengine wa sakata la mauaji ya binti hawajachukuliwa hatua yaan mkuregenzi, polisi na MtuliaMahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuwatoza faini kubwa.Uchumi wa nchi umekua kwa kuwaweka ndani wapinzani
Mnafiki mkubwa wewe tokaaa hapaJamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.
AminaHuu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
KilazaMahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.
Sawa tunawasubiri , we shall listen and analyze.
Safi sana Upinzani uneonesha ukomavu na umoja wa hali ya juu sana. Ujumbe huu umfikie Boss uchwara kuwa hatumtaki tena.Ni kwa mujibu wa tweet hii ya John Mrema
Tutafanya mkutano na waandishi wa Habari Leo saa tano na nusu asubuhi . John Mnyika, Salum Mwalimu na Peter Msigwa watazungumza baada ya kutoka Magereza . Tutatoa updates ya michango tulipofikia
Heche pia ataongea leo kwani ameshatoka Magereza