John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

Machi 13, 2020

Live / mubashara
Makao makuu ya ofisi za Chadema , Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania

Kweli nimeamini kwamba Siasa ni Sayansi na kwa kawaida sayansi huwa inahitaji Logic kali mno...
 
Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.

Kasema haya:

"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"

Jeshi la Magereza lakanusha;

https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4
 
Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
 
Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.

Kasema haya:

"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"
Sijaelewa chochote
 
Ester Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
 
Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Nadhani wewe ndiye mpuzi, mwenzio anaeza experience ya jela wewe unatukana. Kwani ni lazima kila mtu ayajue maisha ya jela tangu utoto kama wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom