Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ni mahakama ipi unaizungumzia?Mahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmehamisha magoriMahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nguvu ya wasamalia. Waliohusika walitoa shukrani hata kwa wana CCM waliochanga.
Tumekusikia mzee kapange foleni ya bk7 yakoMahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hapo Moshi, mvua inanyesha?Huu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
Jamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.
Pumbavu weweMahakama zipo huru sana otherwise ndugu wa Rais Magufuli Ndugu Peter Msigwa asingetiwa hatiani
Sent using Jamii Forums mobile app