John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

Huu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
Sidhani! Kule twita kwenye uzi wake wala hajibu hoja za watu, zaidi amejibu moja tu ya Maria Sarungi tena ameweka emoji hii🙏🙏🙏🙏 Zaidi ya hapo hajibu maswali ya watu wengine
 
Mwenzako akinyolewa, nawe nunua wembe - kila hatua mnayopitia ni kiungo muhimu cha kuwavusha - tuifanye Tanzania kuwa kisiwa cha amani na utulivu
 
Ni utindio wa ubungo kama watu wataamua kurudia kosa Kwa kukosea kuchagua tena.
Kama tukikosea kuchagua tena na tunyooshwe hadi tulimie kucha yaani hadi watu wapaki magari.Hata Mungu atatushangaa
 
Huu Utawala wa Dikteta toka Chato ni Laana kwa nji hii....!
Naomba Mhe. Msigwa awake Mambo hadharani kwa kumwumbua huyu Dikteta Uchwara anayejitafutia umaarufu kwa kunyanyaswa wapinzani...,.Mungu na amlaani!!
Amina
 
Wiki hii imekuwa chungu huko Lumumba!
 
Safi sana.
Muhimili wa rais wakishirikiana na mhimili wa mahakama kuhujumu haki umekwamishwa na nguvu ya Umma.
Mungu asifiwe kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tunawasubiri , we shall listen and analyze.

Pole kwa wote waliohusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Upinzani uneonesha ukomavu na umoja wa hali ya juu sana. Ujumbe huu umfikie Boss uchwara kuwa hatumtaki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…