Kwa ule mdomo, hata tusioangalia mchezo huo, tungesikia.Kuna ulazima wewe kuusikia mchango wa Lissu,au inakusaidia Nini ktk familia yako?
Mjini kumekushinda Rudi Kijiji maisha mepesi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
God are over everything. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka nusu nife[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kwel mkuuKuna tetesi nimesikia wakina mdee wamedakwa tena huko segerea.....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitoa ngapi.Jamani, sikusikia mchango wa Lissu kuwaokoa waliokuwa kifungoni. Au naye ana hadithi ya kufungiwa akaunti.
Unaowatetea ndio wametufikisha hapa.hatari sana, ndio maisha hayo
Sijaelewa chochoteHii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.
Kasema haya:
"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"

Nadhani wewe ndiye mpuzi, mwenzio anaeza experience ya jela wewe unatukana. Kwani ni lazima kila mtu ayajue maisha ya jela tangu utoto kama wewe?Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Ndiyo Tanzania ya ngumi. Taratibu tutaelewana huko mbeleEster Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
Wameshindwa kuiua CHADEMA sasa wameamua kupiga wanasiasa wa chama hicho!!Ester Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.