Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,621
- 2,920
Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Sure alafu hawajapeleka hospitaliEster Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
Sasa kwanini Tanzania tusiwe mfano kwa magereza mengine Afrika, tubadilishe hiyo hali, wewe unaona hiyo hali inafaa? inatunza heshima ya mtu/mfungwa?Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Wamefanya la maana sana! Maana anapereka siasa mpaka kwenye majeshi.Ester Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
Ficha upumbavu wako huko kama wew unaona huo ndo ustaatabu wenu basi ubakie ktk familia yenu. Sisi Watanzania hatuataki ujinga wenu huo. Mtu yeyote hata kama amehukumiwa kutenda kosa anabakia na haki zake za ubinadamu kama binadamu mwingine.Heche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
Umenena mkuuHeche ni mpuuzi sana ,mbona hayo ni maisha ya kawaida tu jela za kiafrika,kunyea mtondoo,kurushwa kichura huku ukila mbata,kuhesabiwa huku ukisindikizwa na stick,sioni jipya,Godbless Lema anajua hilo kabla hajawa mbunge ,kazi yake ya zamani kila mara alihudhuria huko jela
[emoji1][emoji16][emoji2960]Wamefanya la maana sana! Maana anapereka siasa mpaka kwenye majeshi.
Safi sn.
Ficha upumbavu wako huko kama wew unaona huo ndo ustaatabu wenu basi ubakie ktk familia yenu. Sisi Watanzania hatuataki ujinga wenu huo. Mtu yeyote hata kama amehukumiwa kutenda kosa anabakia na haki zake za ubinadamu kama binadamu mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Silinde, Profesa J, Selasini, Upendo Peneza, sijawahi kuwasikia wakikamatwa na polisi wala kulumbana na serikali
Sasa kwanini Tanzania tusiwe mfano kwa magereza mengine Afrika, tubadilishe hiyo hali, wewe unaona hiyo hali inafaa? inatunza heshima ya mtu/mfungwa?
Yaani kwasababu tu magereza nyingine Afrika wanafanya, basi na sisi tuendelee..
ndio sifa ya jela, aisee!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ndiye mpuzi, mwenzio anaeza experience ya jela wewe unatukana. Kwani ni lazima kila mtu ayajue maisha ya jela tangu utoto kama wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ester Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
Kichwa changu hakiwezi ruhusu kuibiwa na dj!Wewe ulitoa ngapi.
Ester Bulaya inasemekana leo amepigwa na polisi vibaya sana, baada ya kukamatwa tena, amekimbizwa hospitali.
Kitulize kiarage we mamaWamefanya la maana sana! Maana anapereka siasa mpaka kwenye majeshi.
Safi sn.
ndo wasitafute kwenda huko waheshimu mamlaka zilizopo, kama wangetii agizo la polisi kutokuandamana haya yaasingewakuta, ila Ndg Mpendazoe aliwahikusema bila kupigwa na kuwekwa ndani hujakamilka kama mwana chadema.Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.
Kasema haya:
"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"
Jeshi la Magereza lakanusha;
https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4
Hii ni tweet ya CHADEMA Tanzania wakimnukuu Mh.John Heche leo baada ya kutoka jela.
Kasema haya:
"Mkitoka nje mkirudi, watu 300 wote mnavuliwa nguo mnabaki uchi wa mnyama, bila kujali umri, mnakalishwa kwenye ndoo, unakaa wewe unainuka anakaa mwingine, ndoo ya bati na inaweza kukukata ikakujeruhi na mnaambiwa unatakiwa unye kwenye hiyo ndoo mavi mbele kama tai"
Jeshi la Magereza lakanusha;
https://www.jamiiforums.com/data/at..._WA_CHADEMA_WALIOTOKA_SEGEREA__480_X_480_.mp4