PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia hajasema ukweli kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi kuundwa kwa kuzingatia maoni ya Wadau wote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi

Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na kuwa wadau wote tulikubaliana.”

Ameendelea kuwa “Rais ajikumbushe ukweli kutoka kwenye mazungumzo naye Ikulu Chamwino 2022 mpaka kwenye mapendekezo yetu kwa Kamati ya Bunge ambayo yanaweza kusikilizwa hapa chini. Reforms zinazotakiwa kufanyika zinajulikana, hatua za haraka zinahitajika”

IMG_4199.jpeg

Soma: Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika
 
View attachment 3289758

Huyu Mama hafai hata kurumangia aisee.......mtu mwenye ujasiri wa kuhubiri uongo msikitini....dah!
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi

Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na kuwa wadau wote tulikubaliana.”

Ameendelea kuwa “Rais ajikumbushe ukweli kutoka kwenye mazungumzo naye Ikulu Chamwino 2022 mpaka kwenye mapendekezo yetu kwa Kamati ya Bunge ambayo yanaweza kusikilizwa hapa chini. Reforms zinazotakiwa kufanyika zinajulikana, hatua za haraka zinahitajika”

View attachment 3289758

Soma: Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika

Tanzania hakuna Tume HURU ya Uchaguzi. Tume hiyo KAMWE haina hata chembe ya sifa za kuweza kuwa HURU,
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi

Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na kuwa wadau wote tulikubaliana.”

Ameendelea kuwa “Rais ajikumbushe ukweli kutoka kwenye mazungumzo naye Ikulu Chamwino 2022 mpaka kwenye mapendekezo yetu kwa Kamati ya Bunge ambayo yanaweza kusikilizwa hapa chini. Reforms zinazotakiwa kufanyika zinajulikana, hatua za haraka zinahitajika”

View attachment 3289758

Soma: Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika
Mnyika katumia njia nzuri sana kusema Bibie ni muongo
 
Yaani ktenda dhambi siku ya mwisho ya mfungo, na yule Mufti alionya usitende dhambi leo siku ya Eid maana mfungo wako woote utakua hauna maana, huyu Mama bila hata aibu katenda dhambi ya kusema uongo kama ule Siku Tukufu ya Eid!!!!!!!!!!! CCM hawajali hata Mungu kwa sababu ya Madaraka, hata Mzee Kibao hawamkumbuki kua walimwua.
 
Huyu mama alipata ngekewa tu ya kuwa raisi. Hata CCM wenyewe wanakili kuwa kamwe wasingeweza kumsimamisha kama mgombea raisi kutoka chama chao.
Upo sahihi, Jmoc nilikuwa nimekaa na matajiri wawili wa Arusha kusindikiza weekend pamoja na kwamba wanakiri pesa ameachia hovyo lakini wana mkubali sn Magu, huyu ni mzuri sn kwa mafisadi.
 
Yaani ktenda dhambi siku ya mwisho ya mfungo, na yule Mufti alionya usitende dhambi leo siku ya Eid maana mfungo wako woote utakua hauna maana, huyu Mama bila hata aibu katenda dhambi ya kusema uongo kama ule Siku Tukufu ya Eid!!!!!!!!!!! CCM hawajali hata Mungu kwa sababu ya Madaraka, hata Mzee Kibao hawamkumbuki kua walimwua.
Huyu watu wanatekwa kila siku hakemei huku kutwa ushungi, aibu kubwa sn
 
Huyu mama alipata ngekewa tu ya kuwa raisi. Hata CCM wenyewe wanakili kuwa kamwe wasingeweza kumsimamisha kama mgombea raisi kutoka chama chao.
HIyo ndiyo sababu ya kina Bashiru kutaka kupindisha katiba
Hiyo ndio sababu ya kutoruhusu kabisa uchaguzi ndani ya chama. CCM wana siri sana
Ukweli ni kwamba wamekubaliana huyu mtu hana uwezo. Ila mbinu za kumtoa ndio mtihani
 
Ni aibu kubwa kuwa na Rais Mwongo kiasi hiki!!

Kwenye maoni ya wadau, iwe ni TLS, TEC, ACT au CHADEMA, hakuna ahata mmoja alitesema eti Rais atrue Tume ya Uchaguzi.

Huyu mama ni mwongo kiasi hiki, akiwa Rais, je, alipokuwa huko mtaani kwake ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom