Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Bahati mbaya ya wanasiasa wajinga wanaamini kuwa wakikishinda chama tawala ndio demokrasia. Huo ni ujinga wa hali ya juu!..hata ACT waliowaamini na kushirikiana na CCM mpaka mwisho wanalalamika kuwa reforms hazitoshi.
..Mama amekosea sana kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa.
..kungekuwa hakuna mauzauza ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, CDM, na ACT, wasingekuwa wanalalamika.