Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi
Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na kuwa wadau wote tulikubaliana.”
Ameendelea kuwa “Rais ajikumbushe ukweli kutoka kwenye mazungumzo naye Ikulu Chamwino 2022 mpaka kwenye mapendekezo yetu kwa Kamati ya Bunge ambayo yanaweza kusikilizwa hapa chini. Reforms zinazotakiwa kufanyika zinajulikana, hatua za haraka zinahitajika”
View attachment 3289758
Soma:
Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika