John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

Issue mleta mada anampigia mbuzi gitaa.Hayo aliyoshauri chadema wameshauriwa Sana wakaziba pamba masikioni.Sasa watakumbuka shuka wakati kumekucha?
Mkuu Yehodaya, hili la Chadema kukumbuka shuka kumekucha hata mimi nililisema hapa
QUOTE="YEHODAYA, post: 35565584, member: 315573"]
Hiki chama kilijitaji sura mpya kukirudisha enzi za dk slaa kinaenda kuwafia akina Mbowe mikononi mwao na halima mdee wake
[/QUOTE]Duh...!. Hapa umechapia!.
Kwenye kusoma maandishi ya mwandiko wa mkono, kupitia kitu kinachoitwa graphology, unaweza kubaini gender ya mwandishi na emotions zake wakati anaandika, lakini unapotumia keyboard kuandikia ni ngumu ku detects. Lakini kupitia hiyo last sentence yako, nine detects yafuatayo
  1. Naijua Gender yako!.
  2. Anamzimikia sana M!.
  3. Kuna uwezekano M. ali...na kuku dump, hivyo you are hurt!.
  4. Hivyo baadhi ya comments ni za mtu bitter anayelia wivu!.
  5. Kufuatia kumpenda sana M, unajikuta una mhate yoyote aliye karibu na M.
  6. Hivyo unamhate H kwasababu yuko close to M.
  7. Ikitokea chance ya kumflict pain kwa M, you inflic!.
  8. Ushauri kwa watu close to M. mwambieni amtafute huyu member Y to set the scores wamalizane yaishe vinginevyo...!.
NB. Sometimes graphology get it wrong, mfano kwa muda mrefu nikimsoma humu member anayeitwa Wakudadavuwa, graphology zilielekeza Wakudadavuwa ni female, hadi alipojitambulisha rasmi kuwa yeye ni male na ni mkubwa kwangu from then nikajua kumbe graphology sometimes get it wrong, toka pale nikawa namuadress as Kaka mkubwa Wakudadavuwa, na nikajikuta sikuwa peke yangu, Luna wengi walidhani Wakudadavuwa ni she, kumbe ni he, hivyo hii gender yako niliyoibaini kupitia graphology might be sio!.
P
 
Kumbuka hata mikutano ya ndani tu ya CHADEMA ambayo ingejadili hayo maoni yako inavamiwa. Hayo yatafanyika wapi?
Ruhusu uwanja wa siasa uwe huru kwa vyama vyote naamini hizo hoja zako sio sababu na hazina mashiko kabisa.
 
Kwahiyo ccm kuna wajenga hoja WAzuri?

Kwa nini hukemei wanayofanyiwa ni vyombo vyenu vya dola.

Ccm haina uwezo wakushundana bila usaidizi WA vyombo vya dola.
 
Mimi ningeiona ccm imara inapotumia hoja madhubuti bila vyombo vya dola. Msikilize Bashir u alishaeleza jinsi ccm inavyobakiadarakani.
 
Pamoja na mambo ya kununuliwa kwa baadhi, chadema ijitathimini kujua walikosea wapi na kufanya marekebisho. Tatizo ushabiki unasababisha watu kutokuona pale penye mapungufu.
 
Chadema imekuja kufa kwa aibu sana
Ikifa wewe matanga unaumia nini? Nadi sera zenu then wekeni tume huru muone kama fisiemu hatujawazika mapema sana. Ccm ndiyo chama kilichokufa ila kimebaki kutumia dola kubaki madarakani(katibu wenu wenu ni shahidi)
 
Mbona wewe hujaja na hoja za chama chako? Kila siku mnawaza chadema tu,
 
Mtu uliyetimamu unawezaje kuhangaika kiasi hiki na chama kilichokufa? Lazima kiwe Kinakunyima usingizisi bure
 
Well said mkuu
 
Ebu shauri na upande was pili wasitumie polisi na mahakama kuwakwamisha kina Mnyika kufanya kazi na kutekeleza ushauri wako
Wakina Mandela walifanya siasa kwenye utawala wa kikatili na wakibaguzi na waliweza kuleta mabadiliko. Dira kuu ya chama ikiwa NI kuyasemea matatizo na kero za watu, kusahau misukosuko ya kisiasa na kutokuwa na hasira. Ata polisi watakuwa upande wenu kwani mkifanya Kazi kiuchunguzi mtajua kero zao na mtakuwa sauti yao.

Mandela alisema kiongozi lazma ajifunze kutochukia. Mnachuki kubwa na utawala na ccm na hapo ndipo mlipozidiwa Akili. Mmeshindwa kuwasemea watu mnajipigania wenyewe tu. Hivyo ukweli ZAIDI ya 90 hawaelewi mitazamo yenu halisi Ila wapo kwenu kwa chuki binafsi dhidi ya Hali ya maisha. Lazma muadress changamoto za watanzania na namna ya kuzitatua swala la sijui tumepigwa risasi , tumefungwa viwe vibwagizo ttu vilivyosheheneshwa na hoja Nzito.
 
sumu yao ni kupewa ushauri wao ni wajuaji wa kila kitu!
 
Ushauri wa kipimbi wapelekee wenzio wa lumumba...hatuhitaji ushauri wa kibwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…