John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

Yaani watu wanabweka kwa habari ya chadema.dah
Yaani laiti ungekuwa mtaani na watu kidogo walioenda shule ukawafanyia tu kautafiti na kupima upepo wa kisiasa usingefanya hitimisho la hivi.
CHADEMA NI KAMA JIBYA LISILIPOTEZA MWELEKEO wa NJIA JAPO MILUZI Ni Mingi.
watu waendelee kujifariji nyuma ya keyboard zao kwamba chadema itakufa kama wanavyoitabiria.
 
Ushauri wa kipimbi wapelekee wenzio wa lumumba...hatuhitaji ushauri wa kibwege
Sijui na wewe NI Chadema au. Njooni na mawazo au hoja. Hivi vimawazo vya kumchukia kila mwenye wazo mbadala haviwajengi Bali hubomoa fikra yakinifu
 
Umeshindwa kuielewa azma au wazo langu. Chama kitabaki na washabiki wa kisiasa tu sio uungwaji mkono wa halaiki mjue mnaenda kwenye uchaguzi kutokea shimoni, kulikuwa hakuna bunge live Wala mkutano wa siasa bila kujipanga sawasawa mtaishia hoja za tundu lisu kupigwa risasi tu na kusaahau matatizo ya watu
 
Nawe hujanielewa.sijaandika kwa mihemko ya sijuhi tundu kupigwa risasi... HAPANA...labda tumeshindwa kuelewana
 
Ujinga na upumbav bado ni utambulisho wa wanachama wa cdm
Hivi ndivyo vitu vya ajabu kabisa kwe siasa za kiafrika. Siasa so uadui tunaweza kutofautiana hoja Ila tukawa wamoja. Nchi Kwanza tuache kutukanana
 
Hizi ni hoja za kuhalarisha kuiondoa CHADEMA kushika dola au kuiondowa kuwa chama kikuu cha upinzani au hata KUKIFUTA kabisa.Lakini ukweli utabaki pale pale.CCM ya sasa hasa awamu hii,haiwezi kushindana na CHADEMA katika uchaguzi ulio HURU NA WA HAKI.HAIWEZI.Kwa bahati mbaya sana dhamira ya kuifuta CHADEMA imekuwa ya wazi na kubwa mno, kwa hiyo mshangao wa kushindwa kwa CDM awamu hii ni mdogo sana ukilinganisha na mshangao utakaokuwepo kuiona CDM ikifanya vizuri katika uchaguzi
huu kwa mazingira ya siasa za awamu hii.
 
Ushauri wako ni mzuri kwa CHADEMA,lakini ingekuwa vyema pia mkaishauri mamlaka iwaache watanzania wawachaguwe viongozi wao wanaowataka kupitia Tume Huru ya Uchaguzi.
 
"KAZI YA VYAMA VYA SIASA VYA UPINZANI SIYO KUORODHESHA MATATIZO YALIYOPO" By: Dr. Bashiru Ally (kipindi hicho akiwa ni mhadhiri wa UDSM)
 
Mbona mnaepuka Sana hoja. Kupitia kashfa, kejeri na matusi vipi mtawashawishi wazee wenye busara kuwa upande wenu.
Hakuna mzee mwenye busara anayehitaji kushawishiwa kuwa upande fulani. Uzee na busara ni sawa na macho,na mwenye macho haambiwi tazama.
 
Mtoa umejitahidi kueleza ila maelezo yako Kama naona yanaongozwa na hisia za kupenda chama kilichopo madarakani

Binafsi sioni kama CHADEMA kinakashfu uongizi ila mara nyingi ukweli ndio unauma tatizo uongozi uliopo madarakani hautaki kuekezwa ukweli na hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi tutashuhudia mengi tu viongizi wengi wa vyama vya upinzani watawekwa ndani kwa kisingio hicho hicho cha kuikashfu serikali
 
Chadema imekuja kufa kwa aibu sana
Wewe Bia yetu ni mtu au robot maana unadaka faster kama kinyonga na mdudu!!
Lumumba wamekuhaidi uDC kama kina ----Katambi??
Basi hongera, ila CDM is here to prosper and stay!!
 
Kwahiyo ww hulazimishi??
 
Hatuko tyr kushauriwa na walamba viatu vya watawala...yaan unaanzaje kushauriwa na msaka tonge ??? Team kujipendekeza na kujitoa ufahamu ??? Tukutane October tu
 
Hatuko tayar kushauriwa na mambulula wa ccm....hatutaki na endeleeni kujifurahisha
 
CCM tunajua makubaliano yenu yote na baadhi ya wanasiasa wa Upinzani wenye njaa - hicho mnachokifanya ni dhambi kubwa mno - Kutumia njaa ya mtu ili awasaliti wenzake kwa ujira wa vipande 30 vya fedha hiyo ni dhuruma kubwa mno, hata vitabu vya dini vimeandika hivyo.

Leo mnajua fika kabisa kwamba wananchi hawawataki, wameshawachoka ila mnatawala kwa mabavu.... mnakesha kutunga sheria kandamizi za uchaguzi sababu mnajua msipofanya hivyo basi mtaambulia patupu... eti nakala ya matokeo kituoni si lazima apewe wakala...duh !!

Mmetawala nchi hii toka 1961 Miaka 59 - Je mna jipya lipi na kuwaambia wanachi wawakubali?
 
Huu ushauri ni hatari kwa Chama Chetu cha Mapinduzi, kwa nini watu wanapenda CHADEMA ifanikiwe wakati hawatoi ushauri huu kwetu CCM ili tufanikiwe zaidi na zaidi?

Sioni sababu ya kutoa ushauri mwema kwa CHADEMA wakati huyu mtu angetuletea huu ushauri kwa CCM kuwa boresheni bei ya mazao, wafanyakazi wapandishwe mishahara, kuondoa Gaps baina ya Mtumishi wa Taasisi A na B wanaofanya Kazi zinazofanana na wenye elimu sawa;
Yesu aliwahi kusema kwamba sio vema Chakula cha Watoto kupewa Mbwa------hapa alikuwa anamjibu Mwanamke Mkananayo aliyetaka uponyaji wakati yeye sio Myahudi;

Kwa hiyo basi watu wengine wakiwepo akina Pascal Mayalla waache kukishauri CDM badala yake walete huo ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi ili kiweze kufanya bora zaidi kwa ajili ya wananchi wetu wote wakiwepo CDMACTCUFUDPNCCR
 
Ukosefu wa tume huru NI dosari kubwa kwa taifa. Lakini kwanini nihangaike kushauri kitu kigumu kufanyiwa Kazi na sio kitu Muhimu kwa upinzani kufanya kuelekea uchaguzi usio huru. Upinzani unaitaji watu kuliko tume. Watu wote wakiwaelewa hakuna tume au police watakaoweza kuwazuia. Wajenge hoja za kutatua kero ata poliice na mahakama Wanatakiwa upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…