dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
sasa hapo ccm inahusikaje yani mnyika akifumwa na mchepuko huko basi ni chadema ndio imechepukaMnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
View attachment 1613740
Kila kit mnadanganywa na ya Zanzibar pia mnadanganywa mpaka tukiwaonesha ushahidi tunapigwa ban nihawa Watonga wemgine humu.Weka ushahidi hili siyo jambo dogo!
Sema kwa nini hajauwawa hadi sasa?Hugo aliyeshambulia kwa nini yeye hakufa
Ccm wanaua watu mida hii bara na visiwani.Weka ushahidi hili siyo jambo dogo!
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
ukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa, hukumbuki yule mbunge wa CCM huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikanaMwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...