Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Viongozi wa huko Wana Mali wewe wamepiga dhahabu enzi hizo za mgodi wa nyamongo.
Halafu Nyamongo huwezi kuwa kiongozi mpaka uwe mtemi haswaa yaani mbabe kwelikweli
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
unamjua Kisire?!.
 
Kada wa CCM ana Mamlaka gani ya kuuwa Raia?
 
Maoni tofauti yaendane na Fact sio hisia zenu CCM wapenda Damu za Watu,mna tuonea sana.

Wale CHADEMA walioua wana CCM unaliongeleaje? Hakuna binadamu timamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine labda awe jambazi anayewaza kitu kimoja tu.

Haya mambo ya vyama yasiondoe utu wetu unafikia mahali ulipofika wewe. Chuki uliyo nayo kwa CCM ni kubwa mno ila nakushauri angalia watu wanaoshirikiana na wewe bila kujali tofauti zenu kisiasa wakiwemo ndugu zako, jamaa zako, jirani zako, kama ni mfanyakazi au mfanyabiashara angalia wateja wako halafu ujifunze kuwa mvumilivu kwa wanachochagua wengine
 
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.

Huo ni ujambazi wa kawaida tu, ashikwe na ashughulikiwe! Si ajabu mtahusisha tukio hilo na CCM, kama ilivyo kawaida yenu. Hata hivyo mtu aijuaye Tarime, hawezi kushangaa na matukio kama haya kwani ni part of their life na yamekuwa yakitokea sana hata kabla ya zoezi hili la uchaguzi! Jamani msichanganye issues hapa!
 
Tunaenda kupiga kura na kulinda kura zetu kesho. Huu ndo mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu.
 
Kada wa CCM ana Mamlaka gani ya kuuwa Raia?
Mwenye haki ni nani ya kuua RAIA, ni kada wa CHADEMA!? Mnakumbuka mauaji ya Njombe au mmeyasahau kwa sababu waliotendewa WALINYAMAZA KIMYA!? CHADEMA kuweni realistic na muwe na chembechembe za UTU! There is life after 28/10/2020.
 
Umeuliza kipumbavu sana
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
 
Wale CHADEMA walioua wana CCM unaliongeleaje? Hakuna binadamu timamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine labda awe jambazi anayewaza kitu kimoja tu...

Mna kera na hamfai kabisa na mmepoteza ushawishi ,mmegeukia Mkono wa Chuma kutawala Tanzania.Hao Chadema unao sema wana husika na Mauaji bado watabaki kuwa ni watuhumiwa tu sababu haija thibitishwa na Mahakama yoyote kuwa walihusika.

Hawa Police wa CCM / Nec CCM /TBCCCM wote mna watumia mpendavyo ili kubadili nyeupe ionekane kuwa njano.Chuki mme zitengeneza wenyewe kuanzia ngazi za juu kabisa kwa Mkuu wa Nchi kutamka wazi wazi kuwa hato peleka maendeleo ktk Majimbo ya Upinzani ,ukigeuka huku unakuta kina Henry James (UVCCM) wana hubiri kufanya Mauaji kwa Wapinzani utafikiri tupo ktk mfumo wa Chama kimoja.

Hatu walazimishi kubadilika lakini hakika tuta tafuta njia mmbadala ya kupata Haki zetu ,tunayo furaha kwa Sababu tunaishi wote huku Mtaani.
 
CCM mwaka huu mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kijinai(ICC) hawataukwepa asilan!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha mbwembwe unaifaham ICC au unaombea Huu usenge sio.
" Acha hasira za ushabiki be logic"
 
Tunaenda kupiga kura na kulinda kura zetu kesho. Huu ndo mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu.
Sawa tunawatakia kila heri ILA asilaumiwe mtu mkishughulikiwa kwa kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi, na waliowatuma hawatakuwepo. Watakuwa wameshasepa Ubelgiji, kazi kwenu!
 
Huo ni ujambazi wa kawaida tu, ashikwe na ashughulikiwe! Si ajabu mtahusisha tukio hilo na CCM, kama ilivyo kawaida yenu. Hata hivyo mtu aijuaye Tarime, hawezi kushangaa na matukio kama haya kwani ni part of their life na yamekuwa yakitokea sana hata kabla ya zoezi hili la uchaguzi! Jamani msichanganye issues hapa!

Siku Ndugu zako watakuja kutiwa dole ndio utapata Akili Mkuu ,wewe potezea tu wala hamna shida.
 
ukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa,hukumbuki yule mbunge wa ccm huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikana
Acha Kulopoka ....:

Ongea vityu vyeny logic "

Mwisho kbhxa acha ushabiki usiokuwa na tija.."
 
Wanachama wangapi wa CCM wameuawa na kuumizwa na wanachama wa CHADEMA tangu kampeni zimeanza? Na wanachama wa CHADEMA walioumia na kuuawa na CCM ni wangapi? Je, wanauana ili wafikishane ICC?

ICC hairudishi uhai wala afya za waathirika tukumbushane kuwa wavumilivu pale tunapokua na misimamo tofauti kwenye siasa.
Mwambie Bibie anaona jina ICC ni sawa na CCM sijui kwa vile yote Yana ma C mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Kisire sio mganga njaa bro!! Jamaa wanamahoteli na mabasi yanapiga route kanda ya ziwa. Tatizo mnakariri mkisikia neno kijiji mnadhani kila mtu ni mkulima wa jembe la mkono.
 
Back
Top Bottom