John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

ukipata majibu haki unitag . hivi haya maswali yako umemuuliza nani vile ?
 
Duuh huyu jamaa atakuwa na shughuli, ana kauli fulani chafu anapomuongelea mkuu
 
Wasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Na wewe ukirudi lazima wakunyooshe sawasawa!
 
Nimesoma maandiko mengi yanayohusu utawala wa kagame . hivyo ndivyo wakosoaji wa kagame wanavyotoweshwa kusiko julikana. Kumbukeni kagame ni role model wa jiwe na ndiye rafiki take .twafwa
 
Mungu amlinde na arejee na afya!Watanzania hatuna namna!
 
"Ukishaonja nyama ya mtu huachi," aliwahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP). Kwa sasa idadi ya walioonja nyama ya Watanzania wenzao yaonekana inaongezeka kwa kasi ya kutisha awamu hii..je kwa kasi hii tutabaki salama?
 
Nimesoma maandiko mengi yanayohusu utawala wa kagame . hivyo ndivyo wakosoaji wa kagame wanavyotoweshwa kusiko julikana. Kumbukeni kagame ni role model wa jiwe na ndiye rafiki take .twafwa
kwa haya anayoamuru yafanyike yanamuondolea hata sifa ndogo ambayo angepata kama legacy.akimaliza utawala wake tutamkumbuka zaidi kwa ukatili tu wa kuua watu kuteka nk.wanakataa kua hawahusiki kwa yaliyomtokea Lisu lakini sasa watu wanazidi kuepata mwanga zaidi.udikteta haufai kama umeshindwa kuongoza si ubwage manyanga tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…