John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Kila siku wanapotea na hawarudi na wala hakuna mtu anayejali. Hatari sana
 
Walikuwa wametulia ..!!

Watasema eti CDM ndio wamemteka
 
CHADEMA HAMUWAJUI WALIOMTEKA MDUDE KWELI? HAMUWAJUI TISS WANAOTEKA WOTE WANAOMKOSOA JPM?!!
ACHENI KUSEMA WATU WASIOJULIKANA SEMENI MOJA KWA MOJA NI TISS INATAKA KUNYAMAZISHA WATU.
KUMBUKENI MTU AKISHAKULA NYAMA YA MTU HAACHI, HUYO MTU ATAUA CHADEMA AKIWAMALIZA ANAHAMIA KWA CCM WENZIE, TIME WILL TELL!.
 
SHETANI HANA URAFIKI, ENDELEA KUMSUJUDIA IPO SIKU UTAJUA RANGI YAKE HALISI. MUULIZE NAPE, KINANA NA JANUARY WATAKWAMBIA!
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
 
Wasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Mwenzao kafa juzi Muhimbili pale.....we ngoja tu
 
"Ukishaonja nyama ya mtu huachi," aliwahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP). Kwa sasa idadi ya walioonja nyama ya Watanzania wenzao yaonekana inaongezeka kwa kasi ya kutisha awamu hii..je kwa kasi hii tutabaki salama?
Tutabakije salama wakati mtu mwenyewe hataki kuachia Uenyekiti!
 
Hii ya awamu ya tano kiboko, Boss anaamuru MTU anayemfanyia fujo kwenye mkutano wake awekwe ndani, huku vijana wanaojulikana wanamteka kada kupelekwa ndani. Ila CHADEMA waki-survive awamu hii hakuna system itakayo wapoteza tena mpaka mwisho wa dahari.
 
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
Vita ya uenyekiti wa chama itamaliza wengi.

Itaweza tembea Bila plate no kweli, ngoja tusubirie ccctv za ofisini kwake zitatuonyesha tukio lote
 

True,upinzani still wameshindwa kuumaliza kwa mujibu wa ilani yao.Mikutano watu wanajaa kufata Pesa
 
Atakuwa kadhulumu watu huyo, acha wamshikishe adabu
Sawa mkuu, ila naomba utafakari methali ya kiswahili isemayo: "tumbili akisha miti, huja mwilini!" na "alieko juu, mngoje chini". Mambo hugeuka mkuu, kuna leo na kesho pia, mimi na wewe ya kesho hatuyajui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…