PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mrema anasahau kuwa uwanachama wake haupo. Anajisahaulisha kuwa hizo kanuni zimeitoa CDM mlisi Mara Tatu mfulukizo (2019, 2020 na 2024)
Sasa anategemea muujiza Hani wa CDM kupata wabunge na madiwani 2025 ikiwa ilikosa hata wajumbe wa mtaa 2024.
ACT Inamungoja kwa hamu Sana akawahi fomu
NO REFROM NO ELECTION FULL STOP
 
lengo kumfelisha lisu kitu ambacho hakiwezekani
 
Nani angeweza kwenda kwenye mtihani wa taifa (NECTA) huku akijua kuwa atapata sifuri? Ukweli ni kwamba hayupo .ni Bora kupigania mabadiliko hata kama ni kwa miaka 10 kuliko kugombea kila wakati na huhujumiwa
 
Huyo John Mrema katika yale majimbo 40 aliyoahidiwa Mbowe yeye kuna jimbo alikuwa ametengewa ndiyo maana anapiga mayowe sana, na lingine John hakuwa na plan B ya maisha nje ya ajira aliyokuwa nayo pale Chadema


Kama no Kweli ni ujinga WA halo ya juu Chama kutegemea kugawiwa majimbo na watawala badala ya wapiga kura kuamua hatima ya jimbo husika
 
Kwani uchaguzi wa mwaka 2020 pia CHADEMA haikushiriki Uchaguzi? Mbona ina Mbunge moja wa Nkasi tena wa kupewa tu ili kuihadaa ulimwengu kwamba wan wapinzani walikuwepo. Maana katika uhalisia Ally Kesi asingeweza kuondolewa na yule mwana mama. The same na ilivyofanyika kwa Hawa Ghasia ambapo Mbunge moja wa CUF alipewa jimbo kwa ajili ya hadaa hiyo hiyo.

Nadhani watanzania kwa ujumla wetu ni kile alichotuitaga hayati Jomo Kenyata kwamba watanznaia ni wafu wanotembea ambao hawajui hata haki yao.
 
CHADEMA IPO miaka na miakaaaaa.

Hao njaa zao na za Mademu wao.

Waingie ACT wakagombee
Wanajua kabisa nje ya CHADEMA hawana nguvu. Ila imekuwa vizuri sana kwa sababu sasa tumejua kuwa kuna kikundi kilichokuwa CAHDEMA kwa sababu tu ya kupata vyeo na ruzuku bila kujali shida za wananchi.
 
Umeona uyo ndio msakatonge original.
Si aende chama kingine.
Mmetumika n fisiem mmetupwa kama bazoka.Baada ya kugundua amna mazara kwao tena.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nani angeweza kwenda kwenye mtihani wa taifa (NECTA) huku akijua kuwa atapata sifuri? Ukweli ni kwamba hayupo .ni Bora kupigania mabadiliko hata kama ni kwa miaka 10 kuliko kugombea kila wakati na huhujumiwa
Yaani Simba aingize timu uwanjani dhidi ya yanga huku akijua kabisa refarii ni Eng Hersi Said... hiyo itakua akili au matope
 
Aende chauma au NLD akagombee πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Hivi ungegombea ungepata nini wewe Mrema?, juzi tu serikali za mitaa mmepigwa mkaambulia karai aka zero na ww ukiwa kiongizi hapo HQ.
Hebu acheni unafiki nyie watu.
Waacheni wana CDM wenzenu wapiganie kuukata mzizi wa fitna za uchqguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…