PreGE2025 John Mrema: CHADEMA 'imeuzwa' ndiyo maana tumeondoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mrema ndiye aliyepewa hela - hii project ishamshinda tayari. Hela iliyobakia namshauri akafuge kitimoto ununio itamtoa.
 
Tahira huyu Mrema kwanini asigepinga wakati ule.?
 
Wanasema ukitaka kuruka agana na nyonga. Huyu mrema anafikiri watanzania wa leo ni wale wa 1990s. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
..alikuja lini na nani walikuwepo si hoja, na zipo nafasi ndani ya serikali zina viapo muhusika hapaswi kukiuka kiapo mojawapo ni hizo nafasi alizoshika mama mollel serikalini, mtu wa namna hiyo hawezi kuaminiwa kwa nafasi km hiyo ya kuwa mwenyekiti au mjumbe wa bodi ya wadhamini..bado anafungwa na viapo huko alikokuwa..hivi ni vigumu sana kuelewa haya..? wala si hisia ndio ukweli.
 
Hizi stori za mitaani usizigeuze kuwa kweli. Kwani Ruth Molell alikuwa anafanya kazi gani Ikulu?

Hizi stori za kusema mtu akiwa shushushu huwa anaendelea kuwa shushushu maisha yake yote ni stori za vijiweni tu.
 
Alitakiwa kusema wamenunuliwa kutoka Chadema
 
huyu hajazoea majukwaa ni mtu wa ofisini tu na kula ruzuku, bora chama kama kimenunuliwa na watenda haki mchwa metoroka bure kabisa
 
Wamekubaliana hakun kutaja Chadema, tuseme CHAMA KILE.
 
Huyu bwana hata mie ni class mate wangu. Hana tu uwezo hata wa kuwa VEO. Nilimjua tangu akiwa PM wa waitara. Hamna kitu mule
 
Sijasema au Ku imply kuwa ni dhambi, nauliza tu ilikuaje akakulia maisha take yote Ikulu?
Wanaosema alikulia Ikulu wamesahau kuwa wenyewe walipokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA ndipo Ruth Mollel alikuwa mbunge wa viti maalum?

Sasa kwani Ruth Mollel alikuwa anafanya kazi gani huko Ikulu ambayo Ina madhara kwa sasa kwa CHADEMA?
 
Hoja yangu kwani Kuna kizingiti gani kwa mtu kuwa mwanachadema kama aliwahi kufanya kazi Ikulu?
Nani anasema kuna kizingiti..? kwa muda wote toka siasa za vyama vingi zianze serikali na chama tawala wamekuwa wanaweka watu wao kwenye vyama vya siasa kwa nia ya kuvidhoofisha na hatimae vife..hicho ndicho kinaleta hoja ya chadema kuwa waangalifu wao wenyewe na watu wanaokuja
Hizi stori za mitaani usizigeuze kuwa kweli. Kwani Ruth Molell alikuwa anafanya kazi gani Ikulu?

Hizi stori za kusema mtu akiwa shushushu huwa anaendelea kuwa shushushu maisha yake yote ni stori za vijiweni tu.
Una maana gani kusema stori za mitaani..Lowassa hakurudi alikotoka, sumaye je..na wengine wengi, nini maana ya kiapo mtu anapoapa kutotenda kinyume na kiapo..? angalia kinachofanyika usibaki na nadharia, ni afisa gani mwandamizi wa serikali mstaafu kwa level ya katibu mkuu yuko upinzani toka vyama vya siasa vianze, taja jina..
 
Na CHAUMA imefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…