Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa yule mweye kiti wa BAWACHA anajisikiaje maana alisha jinasibisha kabisa ila kwa kuwa TUNDU LISSU anajua kutatua matatizo ya ndani ya chama atamaliza hiyo shida

Aliyekwambia utndu lissu anajua kuyatatua matatizo ya ndani ya Chama ni nani?
 
Nashangaa


Kabisa vyama ni upuuzi Bora kugombea binafsi
 
Lissu ni mtu mwenye misimamo lkn sio mtu wa visasi, angekuwa mtu wa visasi bashite asingekuwa hai kwa namna yoyote ile. Pengine mrema kaamua kutengeneza mazingira ya kupokeleka upande wa pili
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mh Freeman Mbowe ndiye aliyesema mwanachama ambaye siyo Kiongozi mamlaka yake ya Nidhamu ni Ofisi ya TAWI

Kama lawama basi apewe Mh Mbowe

Mlale unono 😄
 
Kwani Mrema anachukuliwa hatua kwa ajili ya Freedom of Speech au fedha za Abdul? Hujui hawa ndo wamekula fedha za Abdul kwa nia ya kuiangamiza Chadema?
Hizo ni tuhuma tu hazina ushahidi wowote.
 
Aachwe aongee atakacho, kisha akimaliza aulizwe kama ametosheka. Kama bado aombe michango tumchangie ya kuitisha press nyingine. Ni kawaida kutokukubali kupoteza kirahisi sehemu uliyokuwa unapatia mlo. Kutaka kumfukuza kama ni kweli ni kumpa millage asiyostahili.
 
Naam kama ni Rushwa si kuna Sheria, Taratibu na Kamati za Nidhamu n.k., Hivyo kama kweli akionekana ana kosa basi ashughulikiwe kama Chama walivyojipangia kumshughulikia mtu kama huyu akifanya kama hayo...,
You're right
 
Kaeni kwa kutulia mpaka akili ziwakae sawa. Maana niliwaambia Lissu atakisambaratisha chama lakini hamkunisikia. Tena ikiwezekana upigwe kabisa na makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…