TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

pole kwa familia, Mungu awajalie moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
kwahiyo yeriko sio ndugu wa akina nyerere?

Sio ndugu kabisa...

Fungua hii thread na usome posts #33 na #40

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=816328

Wasome mtoto wa Mwl. Nyerere na Yericko...
Ni matusi kumwita. Yericho mtoto wa . Mwalimu. Nyerere. I am loosing my patience.

Lini na wapi niliwahi kukuthibitishia kuwa mimi ni mtoto wa Julius Nyerere?

Kwa uthibitisho upi mkuu? Wasifu wangu upo hapa jf kwa mda mrefu, Mhehe na Mzanaki wapi na wapi???

Usiwe muongo na mnafiki!
 
Mwanga wa Milele umwangazie na raha ya milele umpe Eeh Mungu. Amina
 
Rest in Peace John.

Your service to this great country will forever be remembered and honored.
 
kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.

Yeah. Tumia lugha nzuri sio kitoto. Ni kijana ambaye anakipaji chake. Upo.
 
kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.

I better preserve my comments
 
​Rest in peace, my sincere sympathy to the family.
 
kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.

Amesha diclare hapa jamvini hana undugu na nyerere yeye ni mhehe na si mzanaki
 
Back
Top Bottom