John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi waungwana

Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?

Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye

Kijana ana nondo ni balaa

Kamchana chana Mbowe kama karatasi

Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan wao kuwa wapinzan wakati pesa wameziacha CCM

Duh Magonjwa Mtambuka Lucas Mwashambwa chiembe

LONDON BOY
 
Pesa wameziacha CCM, tusubri matokeo ya uchaguzi tutarejea kushadidia hoja
 
Amani iwe nanyi waungwana

Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?

Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye

Kijana ana nondo ni balaa

Kamchana chana Mbowe kama karatasi

Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan wao kuwa wapinzan wakati pesa wameziacha CCM

Duh Magonjwa Mtambuka Lucas Mwashambwa chiembe

LONDON BOY
Ni Mwalimu tu kama mama yake.
 
CCM wameshaanza kutuma 'posa'.. soon ataanza kuimba nyimbo za 'sifa'.. anaupiga mwingi hadi unamwagika..
 
Amani iwe nanyi waungwana

Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?

Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye

Kijana ana nondo ni balaa

Kamchana chana Mbowe kama karatasi

Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan wao kuwa wapinzan wakati pesa wameziacha CCM

Duh Magonjwa Mtambuka Lucas Mwashambwa chiembe

LONDON BOY
Duuh
 
Back
Top Bottom