Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Endelea kujitekenyaMoja kati ya majiji tunayoenda kuyachukua kiulaini ni mwanza, dar, arusha, na mbeya ..kwa miji ni bukoba , moshi, iringa geita mjini shinyanga mjini musoma na njombe mji , sumbawanga bila kuisahau Tabora na mpanda