Endelea kujitekenyaMoja kati ya majiji tunayoenda kuyachukua kiulaini ni mwanza, dar, arusha, na mbeya ..kwa miji ni bukoba , moshi, iringa geita mjini shinyanga mjini musoma na njombe mji , sumbawanga bila kuisahau Tabora na mpanda
wanaoua ni kabila gani ?kabla hata sijasoma uzi nimecheka sana[emoji23], yani huyo msukuma “pambalu” ndio aue CCM mwanza[emoji23] mkuu leo umenichekesha
wanaoua ni kabila gani ?
Cccm haiwezi jaza bila wasaniiHuyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza ccm Mwanza , lakini amepata wapi uwezo huu ?
View attachment 1553031
Kiherehere kitakusaidia nini!?Umbea utakusaidia nini?
Kwani mkoa wa mwanza ulikuwa na wabunge wa upinzani wangapHuyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza ccm Mwanza , lakini amepata wapi uwezo huu ?
View attachment 1553031
Ila mimi nina wana ccm rafiki zangu wanasema Mabula wanamchijilia mbali!Hamna kitu hapo ccm ndio baba lao
Mwenyezi Mungu ndo amempa uwezo.Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza ccm Mwanza , lakini amepata wapi uwezo huu ?
View attachment 1553031
Kipawa na baraka za ki MunguHuyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza ccm Mwanza , lakini amepata wapi uwezo huu ?
View attachment 1553031
Nasikia wajumbe walikula mpunga wa kutosha!Mabula kakosea sana, na sijui kwanini Wajumbe walimpitisha Ila sizani km Dogo janja atatoboa
Mi ndio nasubiria nione kama historia itabadilika, Masha pamoja na kuwa waziri wa mambo ya ndani hakutoboa!Ninavyojua Jimbo la Nyamagana wanmpa mtu kipindi kimoja tuu acga tuone mwaka huu itakuwaje
Halafu ukome kutuletea mtu usiyemjua ila kwa kukusaidia tuna jipya huyo atapigwa asubuhi na MabulaHuyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?
View attachment 1553031