John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche.

Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho,

Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi wahanga watataka kusoga mbele na mapambano John Heche atawasaidia,

CHADEMA tayari inakufa gradually kama ilivyokuwa kwa NCCR, TLP na baadae CUF tatizo kubwa ni kukosekana kwa kibali na tuhuma nyingi zinazowakabili viongozi wake hasa wa ngazi ya Taifa.

Wanachadema mtake msitake bila ya John Heche chama chenu kinakufa tena ni kifo Cha polepole ambacho ni ngumu kunga'mua.

Sitaki kuzungumzia mapungufu ya Viongozi wengine hasa wa Kitaifa kwani naamini hayo mnayafahamu na mnafahamiana vizuri.

Nawatakia Dominica njema hapo kesho, Msiache kufika kwa Mwamposa kama ilivyo kwa Crde Mhe Paul Makonda na maombi 12.

Mungu ibariki Tanzania.
MBONA SIONI COMMENT ZOZOTE ZA MAANA HUMU,

AU NDIO KWELI CHAMA HAKIPO TENA?
 
huyu ni jamaa mmoja ana hasira sana,na hana uvumilivu wa kusikiliza hoja za wenzie anataka hoja zake tu ndio zisikilizwe,ni udhaifu wake mkubwa
 
Nadhani na wewe humfahamu vizuri Heche,

Heche ni mtulivu sana na ni mnyenyekevu ila sauti tu ndio huonekana kama ni mtu wa hasira,

Hii ninawasaidia tu kuwapa mtu Sahihi ila kama mnataka kufutika 2024 na 2025 endelee na Ndg yenu
 
IMG-20231216-WA0002.jpg
 
Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche.

Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho,

Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi wahanga watataka kusoga mbele na mapambano John Heche atawasaidia,

CHADEMA tayari inakufa gradually kama ilivyokuwa kwa NCCR, TLP na baadae CUF tatizo kubwa ni kukosekana kwa kibali na tuhuma nyingi zinazowakabili viongozi wake hasa wa ngazi ya Taifa.

Wanachadema mtake msitake bila ya John Heche chama chenu kinakufa tena ni kifo Cha polepole ambacho ni ngumu kunga'mua.

Sitaki kuzungumzia mapungufu ya Viongozi wengine hasa wa Kitaifa kwani naamini hayo mnayafahamu na mnafahamiana vizuri.

Nawatakia Dominica njema hapo kesho, Msiache kufika kwa Mwamposa kama ilivyo kwa Crde Mhe Paul Makonda na maombi 12.

Mungu ibariki Tanzania.
Huyu heche ambaye bado anaishi nyumbani kwao? Hajajenga?
 
Huijui chadema vizuri
 
MBONA SIONI COMMENT ZOZOTE ZA MAANA HUMU,

AU NDIO KWELI CHAMA HAKIPO TENA?
Unataka watu wacoment hadi mada za kijinga?.Yaan ukae na mawazo yako uko alafu utake watu wacoment.Uliposema tu kua chadema inafutika 2024/2025 andiko lako likawa lakijinga.
 
Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche.

Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho,

Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi wahanga watataka kusoga mbele na mapambano John Heche atawasaidia,

CHADEMA tayari inakufa gradually kama ilivyokuwa kwa NCCR, TLP na baadae CUF tatizo kubwa ni kukosekana kwa kibali na tuhuma nyingi zinazowakabili viongozi wake hasa wa ngazi ya Taifa.

Wanachadema mtake msitake bila ya John Heche chama chenu kinakufa tena ni kifo Cha polepole ambacho ni ngumu kunga'mua.

Sitaki kuzungumzia mapungufu ya Viongozi wengine hasa wa Kitaifa kwani naamini hayo mnayafahamu na mnafahamiana vizuri.

Nawatakia Dominica njema hapo kesho, Msiache kufika kwa Mwamposa kama ilivyo kwa Crde Mhe Paul Makonda na maombi 12.

Mungu ibariki Tanzania.
Wewe unataka kumgombanisha jirani yangu Heche na Mbowe!
 
Mmeendesha siasa kipuuzi ndani ya nchi hii, badala ya ushindani wa kisiasa mnahakikisha mnatumia vyombo vya Dola kulazimisha kuua vyama msivyo na uwezo wa kushindana navyo. Upuuzi mtupu.
Jibu zuri sana hili.
 
Kama hujui kitu uliza huko nje then ukikosa majibu uliza kwa watu wenye akili timamu km humu. Kama hujafanya utafiti na umekimbiza humu unakuwa km nape nnauye tu. Kwa kadri ya uelewa wangu, jamii ya kikurya hu-share baadhi ya majina (kwa wanawake na wanaume). Hii huletwa na sbb nyingi za kitamaduni, kiimani, na sbb nyinginezo. Mfano ukuryani unaweza kukuta watoto wa kiume wanaitwa Ghati, Wegesa, mokami, rhobhi, n.k ambayo likely ni majina ya kike. Sababu ni km nilizosema hapo juu. Kwa hiyo WEGESA kwa Heche siyo hoja
WEGESA ni Jina la kike,

Wakurya mlioko humu, tuambieni imekuwaje Jina Hilo akatumia Heche?
 
Kama hujui kitu uliza huko nje then ukikosa majibu uliza kwa watu wenye akili timamu km humu. Kama hujafanya utafiti na umekimbiza humu unakuwa km nape nnauye tu. Kwa kadri ya uelewa wangu, jamii ya kikurya hu-share baadhi ya majina (kwa wanawake na wanaume). Hii huletwa na sbb nyingi za kitamaduni, kiimani, na sbb nyinginezo. Mfano ukuryani unaweza kukuta watoto wa kiume wanaitwa Ghati, Wegesa, mokami, rhobhi, n.k ambayo likely ni majina ya kike. Sababu ni km nilizosema hapo juu. Kwa hiyo WEGESA kwa Heche siyo hoja
Kuuliza nje ndo nn?
 
Mtoa mada umeandika kuhusu nguvu na uwezo wa Heche ambao kiuhalisia uko sawa km ulivyosema. Ila kuhusisha uwezo wake na kufa kwa chadema huo ni uongo. Toa takwimu zinazoonesha kuwa chadema inakufa au imekufa. Vinginevyo ni upigaji ramli chonganishi
 
Back
Top Bottom