John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche.

Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho,

Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi wahanga watataka kusoga mbele na mapambano John Heche atawasaidia,

CHADEMA tayari inakufa gradually kama ilivyokuwa kwa NCCR, TLP na baadae CUF tatizo kubwa ni kukosekana kwa kibali na tuhuma nyingi zinazowakabili viongozi wake hasa wa ngazi ya Taifa.

Wanachadema mtake msitake bila ya John Heche chama chenu kinakufa tena ni kifo Cha polepole ambacho ni ngumu kunga'mua.

Sitaki kuzungumzia mapungufu ya Viongozi wengine hasa wa Kitaifa kwani naamini hayo mnayafahamu na mnafahamiana vizuri.

Nawatakia Dominica njema hapo kesho, Msiache kufika kwa Mwamposa kama ilivyo kwa Crde Mhe Paul Makonda na maombi 12.


Mungu ibariki Tanzania.
Tatizo la CHADEMA ni ukabila. Bado hawajataka kureach out kwa Watanzania wasio Wachagga (hiki ndiyo chazo cha Covid 19).

Kuna Mdada mmoja machomalyenge wa Makambako kama sikosei walikamatwa ugaidi wakiwa na mbowe. Na mwingine nadhani ni Mngoni lakini kalowea au kaolewa Korogwe.

Hawa wana uwezo mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja lakini bias ya ukabila hawaonwi. Hata yule Mhe. Sharifa (wa Pemba nadhani ila mwenye lafudhi kama ya Rais) ni mara 10 kuliko wale wanajiita wenyechama.

Yetu macho.
 
Back
Top Bottom