John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

Tatizo la CHADEMA ni ukabila. Bado hawajataka kureach out kwa Watanzania wasio Wachagga (hiki ndiyo chazo cha Covid 19).

Kuna Mdada mmoja machomalyenge wa Makambako kama sikosei walikamatwa ugaidi wakiwa na mbowe. Na mwingine nadhani ni Mngoni lakini kalowea au kaolewa Korogwe.

Hawa wana uwezo mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja lakini bias ya ukabila hawaonwi. Hata yule Mhe. Sharifa (wa Pemba nadhani ila mwenye lafudhi kama ya Rais) ni mara 10 kuliko wale wanajiita wenyechama.

Yetu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…