Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma.

Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Nakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.

Kwanza nilisita sana kubonyeza hapo kama kawaida yangu ilivyo kwa habari kama hizi; lakini sikuwa na namna, ilibidi niingie tu.

Ukimtaja huyo, nami ntamtaja YEHODAY, Jinga, Magonjwa,...n.k., n.k..
 
Tehe tehe kichwa cha habari tu? Habari yenyewe je?
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Mkuu wanasoma Gap waone uvumi wa upepo unaendaje, si unajua kufanya looping inahitaj target kali 🤣🤣🤣
 
Unaona hao wawili wa mbele, wanakukata makofi kama mtoto mdogo

1619020257999.png
 
Back
Top Bottom