Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini waume za hao bodyguard ishakula kwako, usiniulize kwa nn?
Mara nyingi kichwa cha habari hunipa takribani asili mia 60 kuhusu habari inayohusiana na kichwa cha habari; 40 ndiyo hubakisha kuipata toka habari yenyewe inayofuatia.Tehe tehe kichwa cha habari tu? Habari yenyewe je?
Mchezo mchafuSiasa mbaya sana
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Huyo pamoja na mambo yake amekuwa rafiki yangu humu jukwaani,ila kuna wakati yuko tayari kuelewa na kuukubali ukweli.Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Mkuu, inaonyesha una maumivu makubwa sana kwa kuondokewa.JPM was real....ndio maana alikunyoosha na vyeti vyako feki...kwa nini usimchukie? kutoka kazi ya ukarani mpaka kuwa mlinzi ......sasa kwa thread hii umeonyesha wewe ni low life
Hebu kwanza.Unaona hao wawili wa mbele, wanakukata makofi kama mtoto mdogo
Waberoya umeguswaaaa! Yaaniii!Then ukawa bize kumfuatilia yeye?
Tena unamwanzishia thread???
Kama una akili timamu ungemdharau, fact kuwa unamjua, kumkumbuka basi kakutawala akili
Hivi unataka kusema hawa watu humu na kutumia majina yao ya uongo wanateseka kiasi hicho?? unamjua sura? unajua kazi yake?
Habari ya Mwendazake sidhani kama unayesema alikuwa anampenda kushinda mimi
Nadhan una tatizo la msingi, una utoto wa ...gari lile langu, hilo lako, mzomeeni yuu...ebu kua kidogo utaona hiki ni kijiwe
JPM was real....ndio maana alikunyoosha na vyeti vyako feki...kwa nini usimchukie? kutoka kazi ya ukarani mpaka kuwa mlinzi ......sasa kwa thread hii umeonyesha wewe ni low life
Hahahaaaa..... hahahaaaa...... Nilikuwa nafuturu bwashee!Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Nipo bwashee buheri wa afya!acha nimwite johnthebaptist
"AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU "Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!