Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then ukawa bize kumfuatilia yeye?
Tena unamwanzishia thread???
Kama una akili timamu ungemdharau, fact kuwa unamjua, kumkumbuka basi kakutawala akili
Hivi unataka kusema hawa watu humu na kutumia majina yao ya uongo wanateseka kiasi hicho?? unamjua sura? unajua kazi yake?
Habari ya Mwendazake sidhani kama unayesema alikuwa anampenda kushinda mimi
Nadhan una tatizo la msingi, una utoto wa ...gari lile langu, hilo lako, mzomeeni yuu...ebu kua kidogo utaona hiki ni kijiwe
JPM was real....ndio maana alikunyoosha na vyeti vyako feki...kwa nini usimchukie? kutoka kazi ya ukarani mpaka kuwa mlinzi ......sasa kwa thread hii umeonyesha wewe ni low life
[emoji28][emoji28]kumbe I'd ya mtu[emoji848]
Tumekusikia! Vipi na lile TAGA ANDAMIZI Bia yetu naye kapotelea waaapiii?Nipo bwashee buheri wa afya!
CCM ni chama kikubwa bwashee labda anashinda Chako ni Chako bar!Tumekusikia! Vipi na lile TAGA ANDAMIZI Bia yetu naye kapotelea waaapiii?
Huyo huyoUnamzungumzia yule ndezi?
Halima Mdee amekusikia!"AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU "
Hoja yako ni ipi?Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Tunaendelea kupiga kazi kama kawa! Ila tumepunguza kasi kwa sababu wapinzani wako hoi bin taabani sasa wamerudi wote CCM sasa wana mshangilia Rais wetu Mama Samia sijui wanafikiri yuko CDM? Tumekosa wapinzani wakutupinga sasa tutabaki humu muda wote kwa lipi jipya sasa wakati tumeshamaliza kazi ya kuwaangamiza wapinzani uchwara!!??Wapo wengi; mf
Pascal Mayalla na magu2016.
Mzee Msuya amewaonya mnaotaka kutofautisha kofia ya urais na uwenyekiti wa chama.CCM ni chama kikubwa bwashee labda anashinda Chako ni Chako bar!
Tulimwabia humu hakusikia, wacha ale matapishi yake!Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Rais wa JMT ndio huwa Mwenyekiti wa CCM, hilo halina mjadala.Mzee Msuya amewaonya mnaotaka kutofautisha kofia ya urais na uwenyekiti wa chama.
Nini mnahofia ndugu zangu?..Mama hatabiriki,mnaogopa anaweza kuwasagisha meno?.
Yap Ila maharage pekeeumekula leo mkuu?
johnthebaptist tuko pamoja.Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Tena huyu magu2016 ndo zuzu la shamba kabisaWapo wengi; mf
Pascal Mayalla na magu2016.
Wapo wengi; mf
Pascal Mayalla na magu2016.