Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Anaisoma namba 🤣🤣🤣
 
Tunaendelea kupiga kazi kama kawa! Ila tumepunguza kasi kwa sababu wapinzani wako hoi bin taabani sasa wamerudi wote CCM sasa wana mshangilia Rais wetu Mama Samia sijui wanafikiri yuko CDM? Tumekosa wapinzani wakutupinga sasa tutabaki humu muda wote kwa lipi jipya sasa wakati tumeshamaliza kazi ya kuwaangamiza wapinzani uchwara!!??
Badilisha hiyo id, maana Magu si rahisi tena.
 
Hichi kifo kimefanya watu wapoteane sana humu, wengine kama yule alikuwa anajiita kipara kipya wameingia kabisa mitini na wengine kama sisi kupumua sana.

Ama kweli Mungu ni mwema sana kusikia kilio cha waja wake.
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Si amebadilishiwa kitengo ndio maana hana tena jipya
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Yohana Mbatizaji amebatizwa. Ana jina jipya, nalo tunaliona. nalo ni hili
 
Then ukawa bize kumfuatilia yeye?

Tena unamwanzishia thread???

Kama una akili timamu ungemdharau, fact kuwa unamjua, kumkumbuka basi kakutawala akili

Hivi unataka kusema hawa watu humu na kutumia majina yao ya uongo wanateseka kiasi hicho?? unamjua sura? unajua kazi yake?

Habari ya Mwendazake sidhani kama unayesema alikuwa anampenda kushinda mimi

Nadhan una tatizo la msingi, una utoto wa ...gari lile langu, hilo lako, mzomeeni yuu...ebu kua kidogo utaona hiki ni kijiwe

JPM was real....ndio maana alikunyoosha na vyeti vyako feki...kwa nini usimchukie? kutoka kazi ya ukarani mpaka kuwa mlinzi ......sasa kwa thread hii umeonyesha wewe ni low life
Umepanic mzee, bilashaka umeguswa kunako!
 
Back
Top Bottom