Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

John mnamsingizia tu, kuna dude linaitwa Waberoya, kuna kidemu kinaitwa Wakuvuavua, kuna mswahili anaitwa jingalao, kuna Mgogo anaitwa YEHODAYA aliambiwa azikwe na marehemu kama kweli alikuwa na mapenzi naye akatoroka kwa miguu Chato hadi Nyang'wale.
Hao ndo wanaoteseka kama Bashiru.
Hmemsahau wapi idungude,chagu,baby d.
 
Nakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.

Kwanza nilisita sana kubonyeza hapo kama kawaida yangu ilivyo kwa habari kama hizi; lakini sikuwa na namna, ilibidi niingie tu.

Ukimtaja huyo, nami ntamtaja YEHODAY, Jinga, Magonjwa,...n.k., n.k..
Hivi wapo kweli hawa kaka zetu. Nadhani bado wako na uchungu mkubwa venye baba aliondoka ghafla sana.
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma.

Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma
Badili heading, usimfananishe mheshimiwa Lissu na viibilisi vya ajabu ajabu kutoka lumumba
 
Tunaendelea kupiga kazi kama kawa! Ila tumepunguza kasi kwa sababu wapinzani wako hoi bin taabani sasa wamerudi wote CCM sasa wana mshangilia Rais wetu Mama Samia sijui wanafikiri yuko CDM? Tumekosa wapinzani wakutupinga sasa tutabaki humu muda wote kwa lipi jipya sasa wakati tumeshamaliza kazi ya kuwaangamiza wapinzani uchwara!!??
Dada neema unalalamika bungeni hupakuliwi vizuri,njoo kwangu nakupakua mpka pilau
 
What does that have to do with Magufuli gone?

There are so many ways of masking a bitter pill, aren't you aware of that?

find them, do it, dont take chances...this is just a platform and dont take to your heart
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma.

Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma

Huyu bwana kapotea takriban tokea SABAYA na wapambe wake walipoingia kwenye 18 za wenye nchi. Labda yuko busy kumpelekea mlo kisongo.

Kuna IDs pia zinazofahamika kupotea tokea mwendazake kutwaliwa.

Fake ID hizi zina mambo!
 
Huyu bwana kapotea takriban tokea SABAYA na wapambe wake walipoingia kwenye 18 za wenye nchi. Labda yuko busy kumpelekea mlo kisongo.

Kuna IDs zinazofahamika kupotea tokea mwendazake kutwaliwa.

Fake ID hizi zina mambo!
Tuliwaonya mapema sana
 
Back
Top Bottom