Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

John mnamsingizia tu, kuna dude linaitwa Waberoya, kuna kidemu kinaitwa Wakuvuavua, kuna mswahili anaitwa jingalao, kuna Mgogo anaitwa YEHODAYA aliambiwa azikwe na marehemu kama kweli alikuwa na mapenzi naye akatoroka kwa miguu Chato hadi Nyang'wale.
Hao ndo wanaoteseka kama Bashiru.
Maskini nasikia hata Bia yetu alikimbia makaburini
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!

Maendeleo hayana chama - Mzee Mgaya.
 
Nakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.

Kwanza nilisita sana kubonyeza hapo kama kawaida yangu ilivyo kwa habari kama hizi; lakini sikuwa na namna, ilibidi niingie tu.

Ukimtaja huyo, nami ntamtaja YEHODAY, Jinga, Magonjwa,...n.k., n.k..
Usimsahau Bia Yetu
 
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
BIA YETU nae sijui kapotea wapi

[emoji848][emoji848][emoji848] lakini pia na Kaka "Pascal Njaa"
 
Back
Top Bottom