Na nimeshiba kabisa kabisa! Hebu niambie!umekula leo mkuu?
Hajala huyo njaa tupuumekula leo mkuu?
Hakika Mkuu!Siasa mbaya sana
Siasa mbaya sanaSiasa mbaya sana
Tehe tehe tehe!Wapo wengi; mf
Pascal Mayalla na magu2016.
yupi huyoUnamzungumzia yule ndezi?
Yehodaya.Wapo wengi; mf
Pascal Mayalla na magu2016.
Simjui!yupi huyo
Nakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Tehe tehe kichwa cha habari tu? Habari yenyewe je?Nakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.
Kwanza nilisita sana kubonyeza hapo kama kawaida yangu ilivyo kwa habari kama hizi; lakini sikuwa na namna, ilibidi niingie tu.
Ukimtaja huyo, nami ntamtaja YEHODAY, Jinga, Magonjwa,...n.k., n.k..
Mkuu wanasoma Gap waone uvumi wa upepo unaendaje, si unajua kufanya looping inahitaj target kali 🤣🤣🤣Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Hakika!Mkuu wanasoma Gap waone uvumi wa upepo unaendaje, si unajua kufanya looping inahitaj target kali 🤣🤣🤣