Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

Badala uulizie kama kulikuwa na mkandarasi, na ramani ilipitishwa l, na Kibali Cha ujenzi, umekuja kuuliza majoka tu, yaani machaga ya siku hizi yamekuwa mashirikina tu, tofauti na zamani walitafuta kwa maarifa.
 
Hakuna picha iliyopigwa ya mnato au video ya hilo joka? Au hakukua na mwananchi mwenye simu eneo hilo? Porojo za kufungia mwaka hizi Pole tajiri kwa kupoteza jengo lako yatapita.
Hao Nyoka wa kina Mshana Jr huwa picha zake hazitoki maana ni Nyoka wa kamati.
Ngoja aje mtaalamu wetu kutoka Kiwangwa atuelezee.
 
Kwa hiyo alitaka gorofa liishe kabla ya 31/12 wakawahisha na tope lake halijakauka
Nyoka wa vichwa viwili wapo ila ni one in a million tena huwa wadogo
 
Maana yake, Jengo bado halijadondoka, Mwenye Jengo bado hajafika, na Joka bado halijaonekana, Mkuu umesafiri mbele ya Muda. 31/12/2022 Bado haijafika ila umetoa wasaa mzuri kwa wengine, kuja kushuhudia
*Jengo likianguka na ikiwezekana kunusuru maisha ya Vijana hao watano wasipoteze Maisha,
*Kuandaa Cameras kwa ajili ya kupiga picha za mnato hilo JOCKER, ama kurusha live hilo tukio.
* Umesema jamaa huwa anagawa 30000 na 20000? Sio 3000?

Punguza Kvant mkuu
 
,🥹🥹
JamiiForums656182546.jpg
 
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.

Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...

Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima nikiri ya kuwa kila ninachokiandika hapa nimekisia kwa majirani.

Niliyoyasikia, mwenye jengo baada ya kupata taarifa ya kuwa jengo lilidondoka alikwea ndege na kukimbilia mkoani Kilimanjaro kuja kuokoa, Sina shida nae mie maana kama alikuja na akawa anazunguka nami kwenye gari huku nikiwa nimemficha wananchi wasimuone sina kosa mie.

Jingine hapo hapo palipo na ghorofa kunalo jingine huwezi amini lililopo hapo mwenye jengo huwa anakuja Kila tarehe 31 /12/2022 na kufanyiwa sherehe, uzuri wake kKila tarehe hiyo mwananchi yeyote ambaye huwa anaenda kumtembelea mwenye jengo ukiwa kabla ya saa kumi na mbili huwa anapewa 30,000 chap, ikifika saa moja unapewa 20,000 kunywa kulewa na kula juu yake bwana mkubwa

Mwaka huu alikuwa anajenga jengo jingine la kulia bata na wanakijiji wenzake.
Jengo limekataa kujengwa limedondoka na kuua watano, swali hapa majirani wanadai wakati wakiokoa watu walikutana na JOKA KUBWA chini ya msingi wa jengo. JOKA hilo la vichwa viwili, wakazi wa Kilimanjaro wanadai hawajawai kuyaona zaidi waliyaona kwenye TV.

Swali je ni nani aliliweka JOKA hilo na kwa lengo gani?

Mshana Jr popote ulipo naomba ufafanuzi
Dah.
FB_IMG_1671351550814.jpg
 
Jifunze kuandika hata kidogo mkuu, hand writing yako ni mbaya sana
 
Watu wamekufa harafu unakuja na habari ya kutunga hizi Karma mbaya mnazitafuta kirahisi sana...
 
Back
Top Bottom