Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

Wachaga nao wanaingia kwenye matambiko, ukute alikosea masharti

Hakuna masharti mafundi waliwahi kutoa milunda ili wakaweke slab ingine ya juu ili wamimine zege kumbe nguzo na slab zilikuwa hazijakauka mzigo ukashuka
 
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.

Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...

Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima nikiri ya kuwa kila ninachokiandika hapa nimekisia kwa majirani.

Niliyoyasikia, mwenye jengo baada ya kupata taarifa ya kuwa jengo lilidondoka alikwea ndege na kukimbilia mkoani Kilimanjaro kuja kuokoa, Sina shida nae mie maana kama alikuja na akawa anazunguka nami kwenye gari huku nikiwa nimemficha wananchi wasimuone sina kosa mie.

Jingine hapo hapo palipo na ghorofa kunalo jingine huwezi amini lililopo hapo mwenye jengo huwa anakuja Kila tarehe 31 /12/2022 na kufanyiwa sherehe, uzuri wake kKila tarehe hiyo mwananchi yeyote ambaye huwa anaenda kumtembelea mwenye jengo ukiwa kabla ya saa kumi na mbili huwa anapewa 30,000 chap, ikifika saa moja unapewa 20,000 kunywa kulewa na kula juu yake bwana mkubwa

Mwaka huu alikuwa anajenga jengo jingine la kulia bata na wanakijiji wenzake.
Jengo limekataa kujengwa limedondoka na kuua watano, swali hapa majirani wanadai wakati wakiokoa watu walikutana na JOKA KUBWA chini ya msingi wa jengo. JOKA hilo la vichwa viwili, wakazi wa Kilimanjaro wanadai hawajawai kuyaona zaidi waliyaona kwenye TV.

Swali je ni nani aliliweka JOKA hilo na kwa lengo gani?

Mshana Jr popote ulipo naomba ufafanuzi
Una mwandiko mbaya hata kwa kutype mkuu
 
Hakuna kitu kama hicho mpaka unaandika nawe ndio walewale bendera fuata upepo japo umesoma kidogo bado una fikra za kizamani jiongeze usiamini kila jambo badilika mkuu kabla hujazeeka.
 
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.

Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...

Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima nikiri ya kuwa kila ninachokiandika hapa nimekisia kwa majirani.

Niliyoyasikia, mwenye jengo baada ya kupata taarifa ya kuwa jengo lilidondoka alikwea ndege na kukimbilia mkoani Kilimanjaro kuja kuokoa, Sina shida nae mie maana kama alikuja na akawa anazunguka nami kwenye gari huku nikiwa nimemficha wananchi wasimuone sina kosa mie.

Jingine hapo hapo palipo na ghorofa kunalo jingine huwezi amini lililopo hapo mwenye jengo huwa anakuja Kila tarehe 31 /12/2022 na kufanyiwa sherehe, uzuri wake kKila tarehe hiyo mwananchi yeyote ambaye huwa anaenda kumtembelea mwenye jengo ukiwa kabla ya saa kumi na mbili huwa anapewa 30,000 chap, ikifika saa moja unapewa 20,000 kunywa kulewa na kula juu yake bwana mkubwa

Mwaka huu alikuwa anajenga jengo jingine la kulia bata na wanakijiji wenzake.
Jengo limekataa kujengwa limedondoka na kuua watano, swali hapa majirani wanadai wakati wakiokoa watu walikutana na JOKA KUBWA chini ya msingi wa jengo. JOKA hilo la vichwa viwili, wakazi wa Kilimanjaro wanadai hawajawai kuyaona zaidi waliyaona kwenye TV.

Swali je ni nani aliliweka JOKA hilo na kwa lengo gani?

Mshana Jr popote ulipo naomba ufafanuzi
Utakuta we naye ni muhitimu wa chuo fulani! Uandishi wa ovyo kabisa, ovyo mno.
 
Back
Top Bottom