Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

Nimefika kwa kuchelewa kuna mengi yanaongelewa kwenye huo mkasa kuna ya uzushi na kuna ya kweli.. Nipe muda nitarejea na majibu mujarabu
 
Bila PICHA Itakuwa ngumu mno kuamini
 
Habari za MATAJIRI waulize MASKINI utapata info zote hata kama ni za uongo, utalazimishwa kuamini kua ni kweli.
 
Reactions: HLM
Nimefika kwa kuchelewa kuna mengi yanaongelewa kwenye huo mkasa kuna ya uzushi na kuna ya kweli.. Nipe muda nitarejea na majibu mujarabu
Sawa mkuu wangu Uzi huu upo kwa ajili Yako nashangaaa mishikwambi inajitokeza
 
Uongo tu... hamna kiumbe mwenye vichwa viwili
Wapo sana na picha nyingi tu ingawa sijawahi kuwaona
Mbona spider [emoji887] wapo wenye macho manane?
Na kinyonga anaeangalia mbele na nyuma kila jicho likijitegemea

Hao nyoka ni bahati mbaya tu ila hawapo jamii hiyo
 
Mnapenda kuleta ulongo bila picha
 

Hayo sijayasikia maana hilo jengo na kwetu home kabisa ni mita kama 60 hivi kwa kifuoi ni jirani kabisa .ni kuwa hilo jengo mafundi walikuwa wanabishana kutoa ile mirunda (iliyoshikilia slab waliominina)ili waipeleke juu wapige mbao na marin bord ili wafunge nondo wamwage slab ingine,kumbe inasemekana wengine (mafundi)walisema haijakauka vizuri wengine wanasema kitu tayari kimekauka wengine bado.sasa waliosema tayari ndio wakawa wanang'oa sasa ndio wakakipata wali chokitaka
 
Reactions: HLM
umesema joka chini ya msingi.Kwani jengo wakati linabomoka hadi msingi ulibomoka?
 
Hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…