mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Mkuu unaposema nyota kun'gaa una maanisha nini?Historia ya washindi wengi wa miss Tz wametusua kimaisha na nyota zao hazifubai kmJacklin, Faraja nk ila ni kinyume kabisa na hawa; Joket na Wema, sijui walikosea step wapi
Utamfananisha jokate na seven 😳 😳 😳 😳 jokate namba nyingine.
Abdukiba povu la nini sasa?Huyu jokate nae ana mambo ya kingese anataka alambwe miguu ndo ajue anapendwa Na atulie... Akafie mbele, jamaa etu anauwezo wa kupata mtoto mzur na mkali kuliko hcho kidada
HahahahahaHuyu hapa seven
View attachment 476629
Kazi kweli kweliKumwacha jokate na kumla seven ni sawa umefaya mtihan wa six ukapata one na ukapewa na std 7 ukapata 0
Ukweli mchungu!ila nyie ndo msababisha yote hya eti! nisije uziwa mbuzi kwnye gunia chaa!![emoji57] [emoji57] [emoji57]Mapenzi yanaumiza sana.ASA kwa wanawake.ukivuliwa tu hauna thamani.hata uwe nzuri vipi.jichungeni.
Swali murua kabisaWewe ungekuwa kiba ungemuacha Kumla seven?
Hahaha vichwa vingine bhana; hadi rahaWote wawili watajiju.