mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Mkuu unaposema nyota kun'gaa una maanisha nini?Historia ya washindi wengi wa miss Tz wametusua kimaisha na nyota zao hazifubai kmJacklin, Faraja nk ila ni kinyume kabisa na hawa; Joket na Wema, sijui walikosea step wapi