Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Kila la kheri, ukiwa unarudi mjini usisahau kuja na mihogo.

Popote kuanzia Pugu kajiungeni hadi Gomz unaweza kunipata na kuniachia zawadi hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina problemaa
 
😂😂😂😂😂
Kaburiii...
 
😂😂😂😂😂
Kaburiii...
 
Sijui kwanini nikiaona Nyuzi za Hashimu SABITI huwa napata ganzi sana yaani naona HASHIMU SABITI ni LUZA yaani FAILURE,yaani ametoka kupata zaidi ya Bilioni 10 kwa mwaka mpaka Sifuri.
Mbona karudi NBA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…