Usitaje watu wenye heshima zao kulinganisha na huu upuuzi
 

Attachments

  • dc.mp4
    1.8 MB
Ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo kutokana na ubunifu wake - tumwombee ili aongoze jumuiya hiyo kwa ufanisi zaidi.
# Miradi ya Jumuiya ya zamani
# Ubunifu wa Miradi mipya
# Kusimamia bila upendeleo makatibu wa Jumuiya mikoa na wilaya ili waepuke kutengeneza makundi ya wagombea uongozi; nknk ni vitu vya kuanza navyo
 
Sidhani kama katibu mkuu anakuwa MB, mwenyekiti ndio anakuwa MB mojakwamoja
 
Sidhani kama katibu mkuu anakuwa MB, mwenyekiti ndio anakuwa MB mojakwamoja
Hiyo ilikuwa zamani walishabadilisha toka enzi ya Magufuli akiwa mwenyekiti wa chama ndio maana mama Gaudensia Kabaka hakuwa mbunge na hata huyu wa sasa Mama Chatanda sio mbunge.
 
Hiyo ilikuwa zamani walishabadilisha toka enzi ya Magufuli akiwa mwenyekiti wa chama ndio maana mama Gaudensia Kabaka hakuwa mbunge na hata huyu wa sasa Mama Chatanda sio mbunge.
Thanks for the info
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Donge ?!!

Wivu?!!

Choyo?!!

Husuda?!!

....CCM ni chama chenye mipango bora.....

Kalaghabaho [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakuna wivu hapo ww mwenye akili ndogo. Hivi kweli ccm hakuna mama mwenye busara na heshma zake mwenye kutunza maadili angekaa hapo. Acha kufikiria kama upepo wa kijambo cha ushuzi
 
Mange Kimambi anasema ikumbukwe Jokate alichaguliwa na Magufuli kuwa Katibu Mkuu UVCCM lakini Magufuli alimfukuza baada ya muda mfupi baada ya watu wengi kulalamika.
 
Uwaziri mkuu na urais? Man tukubaliane kuna nafasi nyeti nchi hii si za kupachika watu ilimradi.
Simchukii ila hizo nafasi hato gusa,migumo ya nchi hii inafanya kazi kwa utofauti sana
Mbona "huyu tuliyenaye" kagusa?
Nchi hii kila mtu anaweza kushika nafasi yoyote bila kujali uwezo wake kichwani (ilimradi awe na watu wa kumbeba tu)
 
Mbona "huyu tuliyenaye" kagusa?
Nchi hii kila mtu anaweza kushika nafasi yoyote bila kujali uwezo wake kichwani (ilimradi awe na watu wa kumbeba tu)

Sorry man si kila mtu. Is why vetting ipo.
Huyu imemuangukia tu ila ingekuwa anaanza from scratch asingepitishwa
 
Safari ya kuelekea bungeni imeiva. Akitinga bungeni unaibu waziri/uwazi anaupata. Wema sepetu yuko wapi kwenye siasa za nchi hii? Angekuwa chadema wangeshamlambisha ubosi fulani kwenye jumuiya zao. Na wale mamisi tanzania pisi kali wako wapi kisiasa? Kina wolper, uwoya, mwanadada shilolole vipi kuhusu siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…