Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Anajitahidi sana katika utendaji wake....atafika mbali, kila laheri kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA ya kina Mdude ndo yenye watu?Sasa ni dhahiri CCM haina watu
Huyu dada ni single mother au?!Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu imemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
** Taarifa Kwa Umma ***
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana
katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu kimemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
Pia, Kamati Kuu imemteua Ndugu Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, kabla ya uteuzi huo Ndugu Lulandala alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Momba, mkoani Songwe.
Katika hatua nyingine, Kamati Kuu imemteua Ndugu Hamad Khamis Hamad, kuwa mgombea wa CCM wa nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Matembwe.
Aidha, Kamati Kuu imewashukuru na kuwapongeza wanachama wote wa CCM na wananchi kwa ujumla katika Jimbo la Mbarali kwa kumchagua mgombea wa CCM Ndugu Bahati Kenneth Ndingo, kuwa Mbunge wao katika
uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 20, 2023.
Pia, Kamati Kuu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na ziara aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana . Katika ziara hiyo pamoja na mambo mengine, Rais alikagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za wananchi.
Pia, Kamati Kuu kimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa namna anavyoiongoza serikali katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Sophia Edward Mjema
Katibu Wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
1 Oktoba, 2023
View attachment 2768443
View attachment 2768422
Jokate atafika mbali sana. Hata urais anaweza akaupata. Sema aliharibu sana kuwepo kwenye list ya wadada waliotafunwa na Simba wa Tandale.
Of all the people, eti Jokate! Hivi huwa ni "kifaa" cha nani johnthebaptistKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu imemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
** Taarifa Kwa Umma ***
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana
katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu kimemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
Pia, Kamati Kuu imemteua Ndugu Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, kabla ya uteuzi huo Ndugu Lulandala alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Momba, mkoani Songwe.
Katika hatua nyingine, Kamati Kuu imemteua Ndugu Hamad Khamis Hamad, kuwa mgombea wa CCM wa nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Matembwe.
Aidha, Kamati Kuu imewashukuru na kuwapongeza wanachama wote wa CCM na wananchi kwa ujumla katika Jimbo la Mbarali kwa kumchagua mgombea wa CCM Ndugu Bahati Kenneth Ndingo, kuwa Mbunge wao katika
uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 20, 2023.
Pia, Kamati Kuu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na ziara aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana . Katika ziara hiyo pamoja na mambo mengine, Rais alikagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za wananchi.
Pia, Kamati Kuu kimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa namna anavyoiongoza serikali katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Sophia Edward Mjema
Katibu Wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
1 Oktoba, 2023
View attachment 2768443
View attachment 2768422
Ubalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.
Haya ndiyo yanafanya nchi yetu iwe hapa ilipo. Jitu kama wewe. Akili kisoda.Ubalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.
Vunja Bei wa Makolo FC 😂Of all the people, eti Jokate! Hivi huwa ni "kifaa" cha nani johnthebaptist
Mwenye kifaa chake alishatutoka sasa gombania goli.Of all the people, eti Jokate! Hivi huwa ni "kifaa" cha nani johnthebaptist
Jiwe?Mwenye kifaa chake alishatutoka sasa gombania goli.
DongoJiwe?
Ana hata watoto kweli huyu? Mwitongo treatyKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu imemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
** Taarifa Kwa Umma ***
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana
katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao hicho, Kamati Kuu kimemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
Pia, Kamati Kuu imemteua Ndugu Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, kabla ya uteuzi huo Ndugu Lulandala alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Momba, mkoani Songwe.
Katika hatua nyingine, Kamati Kuu imemteua Ndugu Hamad Khamis Hamad, kuwa mgombea wa CCM wa nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Matembwe.
Aidha, Kamati Kuu imewashukuru na kuwapongeza wanachama wote wa CCM na wananchi kwa ujumla katika Jimbo la Mbarali kwa kumchagua mgombea wa CCM Ndugu Bahati Kenneth Ndingo, kuwa Mbunge wao katika
uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 20, 2023.
Pia, Kamati Kuu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na ziara aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana . Katika ziara hiyo pamoja na mambo mengine, Rais alikagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za wananchi.
Pia, Kamati Kuu kimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa namna anavyoiongoza serikali katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Sophia Edward Mjema
Katibu Wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi
1 Oktoba, 2023
View attachment 2768443
View attachment 2768422
Sema tu CV yake kwenye mahusiano haijakaa sawa hata kidogo.
Imagine amedate na wasanii wawili maarufu wa Bongo fleva kwa nyakati tofauti!! Kuna yule tall aliyecheza mpira wa kikapu Marekani!! Stone naye nasikia aliweka kambi! Kuna yule Das aliyetumbuliwa na Stone kipindi kile!!! Bado kuna huyo kada mwenzake aliyemzalisha.
Nadhani kwa wale mabinti wote wenye malengo na ndoto za kufanya mambo makubwa hapo baadaye, wachukue tahadhari mapema za Kujilinda, na pia kujiheshimu. Mheshimiwa Katibu Mkuu anaweza kuwa role model wa mabinti/wanawake katika mambo mengi! Ila siyo kwenye kipengele cha mahusiano yake.
Yupo vizuri sana tena sanaa .Mungu amtamgulie katika majukumu yake mapya .kwa hakika jumuiya imepata mchapa kazi ,jembe kwelikweliSana.Ameisoma siasa kwa level ya chuo kikuu Daslam.So yupo vizuri
Uwezo wa Mh Jokate kiuongozi ni mkubwa sana ambapo naamini anakwenda kuipa nguvu kubwa sana jumuiya ya akina mama. Uongozi siyo umri bali ni uwezo wa kuongoza unaochagizwa na Elimu au maarifa,hekima,busara,maono, Utulivu, uvumilivu, kifua na nidhamu katika kuuchunga na kuulinda ulimi wako. Jiulize mwalimu Nyerere alishika uongozi wa Tanu na uwaziri mkuu wa nchi yetu akiwa na miaka mingapi? Emmanueli macron aliingia na kushika uwaziri pamoja na Urais baadaye akiwa na miaka mingapi? Salimu hamed salimu alipewa ubalozi akiwa na miaka mingapi? Unafahamu hadhi ya ubalozi? Barack Obama au John F Kennedy was marekani walishika urais wakiwa na miaka mingapi kwa Taifa kubwa kama lile? Mzee Warioba alishika na kuanza uongozi mkubwa akiwa na umri wa uzee?Kweli ni vizuri vijana kupewa uongozi lakini sio kwa kupaishwa bila kupata uzoefu kidogo naona hiyo nafasi waliyompa imemzidi kimo asipokuwa makini atachemka.