Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Ubalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.
Sio Kama hatabadilika
Sema 'kama CCM itashinda uchaguzi 2025'
Maana kwa wanavyozidi kujiharibia wananchi nao wanaona. Kule PPRA umeona madudu?
 
Ubalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.

Uwaziri mkuu na urais? Man tukubaliane kuna nafasi nyeti nchi hii si za kupachika watu ilimradi.
Simchukii ila hizo nafasi hato gusa,migumo ya nchi hii inafanya kazi kwa utofauti sana
 
Katika kikao hicho, Kamati Kuu kimemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa
Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu
wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.

Kwamba baada ya uteuzi huu, Jokate hatendelea kuwa mkuu wa Wilaya au mwandishi wa taarifa hiyo hana uelewa wa lugha ya Kiswahili...

Najaribu kuelewa kama uteuzi wa kichama unaweza mvua mtu madaraka ya uteuzi aliyopewa na Rais...
 
Uwaziri mkuu na urais? Man tukubaliane kuna nafasi nyeti nchi hii si za kupachika watu ilimradi.
Simchukii ila hizo nafasi hato gusa,migumo ya nchi hii inafanya kazi kwa utofauti sana

Atafikia uwaziri tu wa kawaida.

Makatibu wakuu wa UWT huwaga wanateuliwa ubunge viti maalumu then wanapewa uwaziri

Hapo tayari ana kura ya veto (CCM UWT) ya kwenda bungeni 2025
 
Kwamba baada ya uteuzi huu, Jokate hatendelea kuwa mkuu wa Wilaya au mwandishi wa taarifa hiyo hana uelewa wa lugha ya Kiswahili...

Najaribu kuelewa kama uteuzi wa kichama unaweza mvua mtu madaraka ya uteuzi aliyopewa na Rais...

Ukuu wa wilaya ni cheo kidogo sana kulinganisha na u bosi wa UWT.

Ukuu wa wilaya anaachana nao.

Bosi wa CCM ni Rais. Ndio mwenyekiti wa chama. Hivyo ndie aliempitisha jokate
 
Back
Top Bottom