Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Nilishaandika humu jukwaani miezi michache iliyopita juu ya mh jokate mwegelo kuwa ni kiongozi mwenye uwezo,bidii ya kazi,uchapa kazi na maarifa ya uongozi. Na nilipendekeza kuwa uchaguzi ujao achukue Fomu ya ubunge. Kwa hakika namtaka kila la heri mh jokate katika majukumu yake mapya ndani ya chama. Ni kiongozi mchapa kazi sana na kijana mbunifu na mwenye uwezo mkubwa sana kiuongozi
Sana.Ameisoma siasa kwa level ya chuo kikuu Daslam.So yupo vizuri
 
Nilishaandika humu jukwaani miezi michache iliyopita juu ya mh jokate mwegelo kuwa ni kiongozi mwenye uwezo,bidii ya kazi,uchapa kazi na maarifa ya uongozi. Na nilipendekeza kuwa uchaguzi ujao achukue Fomu ya ubunge. Kwa hakika namtaka kila la heri mh jokate katika majukumu yake mapya ndani ya chama. Ni kiongozi mchapa kazi sana na kijana mbunifu na mwenye uwezo mkubwa sana kiuongozi
[emoji2956][emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cheo kikubwa sana kwa umri wake

Nazani ndio bosi wa UWT mwenye umri mdogo kuliko wote waliopita.

Ukitaka kujua ukubwa wa hicho cheo

Tazama majina ya ma X katibu wakuu wa UWT yana watu gani ?
Umri ?!!!

Mentalities" za zamani....

Anauwezo mkubwa kuliko umri wake [emoji106]

Back
Top Bottom