Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Nimejikuta nacheka mwemyewe Bar.. hivi unaakili timamu mkuu?!!

Ulitaka hiyo mimba upewe wewe au?
Mtu mwenyewe cha pombe upo Bar umelewa unaona nyota tu, mambo ya maadili ya taifa kama katika uongozi utayaelewa vipi.
 
Mkuu acha wivu maadili yapi yaani unaonea wivu mimba ya mtu hii nchi ya ajabu sana
 
Amevunja sheria gani ama ni wivu unakusumbua?

Ndo ataitwa Mama
Mjiandae kulea ma'uncle
 
Kuna sehemu katika sheria ya nchi au ya uongozi inamtaka Mkuu wa Wilaya au Mkoa kuwa na ndoa? Au kwa ngazi ya Urais tu
Maadili ya utumishi wa umma, ili kushika Nafasi za juu inakuhitaji uwe na cheti cha ndoa.
 
Hii nchi ina watu wa hovyo sanaa mkuu
 
Tayari nshafanya kitu, hadi huu uzi kuwa hapa nazani muda siyo mrefu atapewa anachokistahili ili akaendelee kuwabenulia vizuri mabwana zake, ila siyo akiwa na wadhifa kwny ofisi zetu za umma.
Unasahau Rais mwanamke saivi

Kabebe mimba yako kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…