Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Kwa Lugha rahisi ni kuwa mtoto wa DC wa Temeke hatapata malezi ya baba anaeonekana na majirani.
Tanzania hadi Rahaa, yaani baba wa mtoto atakuwa anakuja ki wizi wizi nyumbani kumsalimia mtoto na mzazi mwenzie huku walinzi wa ghetini wakibashiri huyu ndo atakuwa baba wa mtoto na siyo kusema ndo Mume wake.

WaTanzania tuwe tujitahidi kupima madhara ya kiongozi Kama DC kujizalia tu kama kuku, Sasa wanausalama watakua wanampimaje maadili take?

Awekwe pembeni kwanza akalee mtoto na mzazi huko uchochoroni na si kwenye makazi ya serikali...shenzi type.
 
Aisee
 
Hongera sana kwa kuliona hili, Hii IQ yako uendelee kuitumia vizuri hivi hivi Bwana ruhi
 
Hongera sana kwa kuliona hili, Hii IQ yako uendelee kuitumia vizuri hivi hivi Bwana ruhi
Watu hawajui kuwa mtoto wa kiongozi anahitaji malezi mazuri ili kutunza Siri za nchi anazosikia kupitia kwa mzazi/wazazi wake au anazozipata kwenye nyaraka anazoziona hapo nyumbani?

Waliokuwa wanasema kila mara kuhusiana na madhara ya malezi ya mzazi wa upande mmoja au wazazi kuwa mbalimbali au mzazi asiyeonekana ndiyo wamekuwa vinara wa kutetea vitu vya ovyo.

Au watu hawajui vetting ya wenza kwa viongozi zinafanyika?
Uchafu mtupu.
 
Mtu kama hajakomaa kifikra na kiakili hawezi kuyaelewa haya mambo.
 
Utumishi wa umma ni kiti na meza; utakayemkuta amekalia hicho kiti kwa muda ule ndio mwenye maamuzi; sisi wakaaji wa hivyo viti ni wapitaji tu, na tuna malengo yetu binafsi.
 
Ukioa wanawake wa CCM ukapimwe mirembe.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tena uyo kijana mwennye suti nyeusi ndie hasa kambebesha mimba, wanabemendana sana hawa Maccm ni ukahaba tu ndio umewajaa
 
Nakubaliana na ww, lakini yeye kwa nafasi ya Utumishi anayoitumikia anatakiwa kuwa mfano kwa wananchi wake, mkuu wa wilaya anaishi kama bachelor, haileti picha nzuri kabisa.
Kwamba zinaa kwa sasa zinasababishwa na yeye??
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu sifa za mtu kuwa DC?, kuoa au kuolewa is moral Right and not legal one! DC Jokate is in relation hajavunja Sheria!
 
Miongozo ya UTUMISHI wa uma iko wazi kuwa na maadili sio mgomvi sio mzinzi sio mlevi etc. Jokate hana ndoa na hajasajili ndoa. So ni mzinzi akiwa ndani ya UTUMISHI wa uma na amekiuka kiapo cha maadili.
Kwa heshima tuu aondoke mwenyewe vinginevyo anaendelea kuchafua image. Ukiwa kiongozi wa uma huna maisha binafsi. Ukitaka kuzaa zaa hovyo kuzinizini basi usikubali uongozi wa uma mkubwa kama DC, RC.
Bahati mbaya ushahidi wa uzinzi unaonekana zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume. Amekamatwa na ngozi.
UMALAYA HAUKUBALIKI KWENYE UTUMISHI WA UMMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…