Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Jomo Kenyata alishawai kusema:
"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupoba mda wowote na wakadai vyao,
Wakenya ni sawa na walio lala usingizi mda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,
Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
Sass umeandika niniMwambie huko Kaburini kuwa Tathimini ya Dunia kwa sasa ( 2017) Tanzania kuna Uhuru wa habari kuliko Nchi zote za EA japokuwa Uhuru huo umeshuka ukilinganisha na 2015 lakin bado tupo juu ya Kenya
Sass umeandika nini
Maiti hazihojisasa Wewe unataka tudai haki gani tena? Kunamtu amedhurumiwa tena au
Nyani haoni kundule lakeTusi kwa Chadema! Mzee Kenyatta aliwatukana sana.
Rudi kwenu Kenya, mlikozewea kuuwana kwa mapanga kipindi cha uchaguzi.sasa Wewe unataka tudai haki gani tena? Kunamtu amedhurumiwa tena au