Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

Jomo Kenyata alishawai kusema:

"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao,

Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,

Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.

True washukuru wanatawala maiti
 
Jomo Kenyata alishawai kusema:

"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao,

Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,

Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
Mwimbaji mmoja wa Kenya aliwahi kuimba kabla ya Uhuru wetu kuwa: "Tanganyika ikijanjaruka, Kenya na Uganda wataumana." Inaonekana miaka 60 baada ya Uhuru bado hatujajanjaruka tunazidi kuwa wajinga mpaka hatuwezi hata kuchagua viongozi wazuri huku Kenya na Uganda wakiendelea kupeta kwa kila jambo. Kulikoni? Haiwezekani sababu ikawa ni hili liTanzania lililoundwa kwa aina ya Muungano ambao haujawahi kujaribiwa na kufanikiwa popote toka dunia iumbwe? Muungano wa Amerika (USA) ulianza na nchi 13 sasa umekua zimefikia 50, Jumuiya ya Afrika ya Mashariki ilianza na nchi 3 sasa ziko 6 na mbili zaidi zimetuma maombi ya kujiunga. Pamoja na umoja ni nguvu, hakuna hata nchi moja ikiwa ni pamoja na 8 tunazopakana nazo, imewahi hata kuulizia tu namna ya kujiunga. Tujanjaruke wengine waumane, tusiendelee kuwa laughing stock wa nchi zote
 
Jomo Kenyata alishawai kusema:

"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao,

Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,

Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
Alikuwa na akili kubwa sana
 
Huyu Mzee aliona mbali. Sisi ni mithili ya maiti na ndio maana maCCM yanaendelea kutuburuza.

Screenshot_20240516_212432_Gallery.jpg
 
Itoshe kusema aliongozwa na hisia. Kina Lissu na wanaharakati wengine wameshaanza kuhoji
Kina Lissu ni wanaharakati wanaoharakatia matumbo yao na si uzalendo.

Upinzani wa kibongo kwa sasa ni kama mwanamke malaya. Kwa kiasi stahiki atasema/kufanya chochote kile ili apate pesa.
 
Kina Lissu ni wanaharakati wanaoharakatia matumbo yao na si uzalendo.

Upinzani wa kibongo kwa sasa ni kama mwanamke malaya. Kwa kiasi stahiki atasema/kufanya chochote kile ili apate pesa.
Vipi kuhusu kina Ben Saanane? Chacha Wangwe?
 
Back
Top Bottom