Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
Hao wote ni athari/matokeo ya umauti wetu.Vipi kuhusu kina Ben Saanane? Chacha Wangwe?
Tungekuwa hai hata wao pia aidha wangekuwa hai au waliowaua kuwajibishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote ni athari/matokeo ya umauti wetu.Vipi kuhusu kina Ben Saanane? Chacha Wangwe?
Ni kweli kabisa, hiyo ni haki yako, itumie vyemaLengo langu ni kubwabwaja nyuma ya keyboard baada ya kushiba kande nisubiri usingizi nilale zangu.
Kabisa huku tukifurahia Diamond na Zuchu wakishikana matako maana kipaumbele cha nchi hii ni udaku.Kwahiyo tuendelee kupumzika kwa amani....au sio 🥹
Lengo langu ni kubwabwaja nyuma ya keyboard baada ya kushiba kande nisubiri usingizi nilale zangu.
alivyokuwa ana tu treat Nyerere, mtu mwenye uhai hawezi kukubali. We were dead bodies walking. Bado na sasa tu maiti.Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi
Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio maaan Hadi leo tumelala na tunapelekeashwa vilivyo na hakuna tunaweza fanya wanao
Imagine bandari ,na madini inauzwaa na Bado tunawapigia makofi walio uza na kuwatetea wanao uzaa HV hzi Ni akili au maiti
Tuseme ukweli watanganyikaa Ni maiti zilizo lala
Umeelewa kilichoandikwa mkuu? Mtoa post ameelewa Kenyata alichomaanisha anataka kujua kisa kilikuaje mpaka Kenyata akamwambia Nyerere hayo maneno, maana inaonesha ni kauli aliyoitoa baada ya kupishana maneno.Kama hukumuelewa Kenyata mpaka leo bas we ni maiti
Inasikitisha sanaTatizo watz tumekaa ka mazombie vile🤣
Kichwa cha mwendawazimuEmbu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi
Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio maaan Hadi leo tumelala na tunapelekeashwa vilivyo na hakuna tunaweza fanya wanao
Imagine bandari ,na madini inauzwaa na Bado tunawapigia makofi walio uza na kuwatetea wanao uzaa HV hzi Ni akili au maiti
Tuseme ukweli watanganyikaa Ni maiti zilizo lala
Aisee!Tatizo watz tumekaa ka mazombie vile🤣
Hakikaa tuuh maitiNaunga mkno hoja, sisi ni maiti zilizozikwa.
Sasa tufanyaje jmn kwa Hali jinsi ilivyoMzee Kenyatta aling'amua maagano yaliyowekwa kati ya Nyerere na Shetani juu ya Tanganyika,kwa maagano yale dhahiri Watanganyika ni maiti.Ndiomana unaona tofauti kati ya Watanganyika na Wazanzibar ingawa wote ni Watanzania