Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

Hiyo statement siikumbuki ila nakumbuka Nyerere alimuita Kenyata Nyang'au.
Sisi tuliishi kwa kuogopana. Kila mtu alikuwa informa wa mwenzie. Wazazi wetu aliojifanya wana midomo, walifirisiwa kila kitu. Huyo ndo Nyerere ninayemfahamu mimi.
Tuliozaliwa miaka ya kuanzia 90's inaonekana tumelishwa matangopori mengi sana kwenye historia. Maana huyu Nyerere alivyotukuzwa kama vile alikua mtakatifu.
 
Kenyatta alisema wapi hiyo statement? Any credible source au nawewe ni wale wa "Trust me, bro?"
 
Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi

Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio maaan Hadi leo tumelala na tunapelekeashwa vilivyo na hakuna tunaweza fanya wanao

Imagine bandari ,na madini inauzwaa na Bado tunawapigia makofi walio uza na kuwatetea wanao uzaa HV hzi Ni akili au maiti

Tuseme ukweli watanganyikaa Ni maiti zilizo lala
Ni kweli hakukosea Watanzania kuhoji au kutetea haki zao hawawezi.
 
Ni jomo kenyatta au waziri wake aliyekuwa jeuri na kiburi charles njonjo?
 
IMG_20240620_065440_352.jpg

🇰🇪 1. Vijana wameingia barabarani kupinga muswada wa sheria ya fedha (finance bill 2024) ambayo ilikiwa inakwenda kuongeza tozo na ushuru katika bidhaa mbalimbali.

🇹🇿 1. Tanzania, mawaziri wanalipa mazombi posho kusukuma hashtag na bungeni waziri anataja jina la Rais mara 40, bajeti inapita. Wabunge wanaruka sarakasi na miluzi.

🇰🇪 2. Maandamano ya kupinga muswada wa sheria yameratibiwa na wananchi wenyewe, hakuna chama cha siasa kilichoshiriki kuandaa. Hiyo inaitwa nguvu ya umma.

🇹🇿 2. Serikali ya Tanzania inapitisha tozo na kodi nyingi kwa watanzania, Waziri wa fedha anatoka hadharani anasema asiyekubaliana na kulipa tozo hizo ahamie Burundi.

🇰🇪 3. Baada ya kuingia barabarani, Rais William Ruto imebidi awaite wabunge wa upande wa Serikali (Kenya Kwanza) wajadili na kukubaliana kuondoa jumla ya tozo 14.

🇹🇿 3. Wananchi wanalalamika lakini wanaendelea kulipa. Baadae Rais anasema hajawahi kuona Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasifiwa. Ni kulaaniwa, apige kazi tu.

🇰🇪 4. Ruto amesema mapendekezo yameondolewa kufuatia zoezi la ushirikishwaji wa umma ambalo lilishuhudia Wakenya wakiibua upinzani dhidi ya mapendekezo hayo.

🇹🇿 4. Wananchi hata wakishirikishwa, hawaelewi nguvu zao, bado kuna wengine wanasema siasa haiwahusu, hawajui kuacha kushiriki ndiyo ahueni kwa serikali ya CCM.

🇰🇪 5. Awali Ruto aliwaita wabunge wa Kenya Kwanza, Ikulu ili kuwashinikiza kupitisha muswada huo wa sheria ya fedha, wabunge hao wamemkatalia baadhi ya tozo.

🇹🇿 5. Watanzania wao wanaamini ni wajibu na jukumu la CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe na Tundu Lissu kuwapambania kuhusu ugumu wa maisha yao.

🇰🇪 6. Wabunge hao wamemueleza Rais Ruto kwamba, watapitisha muswada wa sheria ya fedha ikiwa kelele za wakenya zitazingatiwa. Serikali imeondoa tozo 14 tata.

🇹🇿 6. Wabunge wa Tanzania wao kila linapotajwa jina la Rais wanapiga makofi, hawasomi vifungu vya bajeti, wanaunga kila hoja mkono na wanapitisha. Hawakuchaguliwa.

🇰🇪 7. Tozo zilizoondolewa; 16% ya VAT kwenye mkate na usafirishaji sukari, huduma za fedha na miamala ya kigeni, mafuta ya kula, bidhaa za ndani, kusajili biashara. Etc.

🇹🇿 7. Tanzania bado tozo zipo nyingi na katika bajeti ya 2024/25 zimeongezwa tozo nyingine na waliongezewa tozo na kodi hawana habari wao ili mradi wanapumua tu.

🇰🇪 8. Wananchi wa Kenya hawaogopi polisi, maandamano wameitisha wenyewe na wameingia barabarani hadi Rais na wabunge wake wamewasikiliza hoja zao.

🇹🇿 8. Pamoja na kwamba polisi wa Tanzania ni katili lakini hata katika maandamano ya ambayo yanalindwa na polisi vizuri watanzania wanapunga mkono kwa mbali.

🇰🇪 9. Kenya, unawaona vijana wadogo wa kike na wa kiume barabarani, wamebeba mabango yenye maandishi yanayotaka serikali iondoe muswada huo wa sheria ya fedha.

🇹🇿 9. Tanzania, wasichana na vijana wamejazana katika kumbi za starehe wanashindana kuvuta shisha hawajui kama bajeti ya nchi yao imepitishwa na tozo na kodi kibao.

🇰🇪 10. (GDP) ya Kenya ni $113.4 billion (2022). GDP per capita ni $2,099.30 (2022). Wananchi wa Kenya wameingia barabarani, uchumi mkubwa wa nchi, hauwagusi wananchi.

🇹🇿 10. GDP ya Tanzania ni $75.7 bilioni (2022). GDP per capita ni $1,192.77 (2022). Kenya wapo juu kiuchumi na wameingia barabarani, watanzania wanamwaga pongezi kwa Rais.

Martin Maranja Masese, MMM.
 
View attachment 3021185

Watanzania hawana shida kwa sababu fedha zote huwa zinatolewa na mama.
 
Umeelewa kilichoandikwa mkuu? Mtoa post ameelewa Kenyata alichomaanisha anataka kujua kisa kilikuaje mpaka Kenyata akamwambia Nyerere hayo maneno, maana inaonesha ni kauli aliyoitoa baada ya kupishana maneno.
Hata wewe unaeendelea kusisitiza hili ni maiti hata mimi na woote tunayoendelea kuchangia hii thread ni walking corpses! Kweli mtu mwenye elimu ya kuungaunga kutoka ka kijiji kadogo huko visiwani anakuja kutawala linchi likuubwa na kuanza kugawa rasilimali kwa waarabu wa Dubai hajatosheka na sasa ameanza kukabidhi miradi kwa waarabu wa ndani na bado tuamwita mama ameupiga mwingi! Kumbe ni maiti zinamsifia
 
View attachment 3021185

🇰🇪 1. Vijana wameingia barabarani kupinga muswada wa sheria ya fedha (finance bill 2024) ambayo ilikiwa inakwenda kuongeza tozo na ushuru katika bidhaa mbalimbali.

🇹🇿 1. Tanzania, mawaziri wanalipa mazombi posho kusukuma hashtag na bungeni waziri anataja jina la Rais mara 40, bajeti inapita. Wabunge wanaruka sarakasi na miluzi.

🇰🇪 2. Maandamano ya kupinga muswada wa sheria yameratibiwa na wananchi wenyewe, hakuna chama cha siasa kilichoshiriki kuandaa. Hiyo inaitwa nguvu ya umma.

🇹🇿 2. Serikali ya Tanzania inapitisha tozo na kodi nyingi kwa watanzania, Waziri wa fedha anatoka hadharani anasema asiyekubaliana na kulipa tozo hizo ahamie Burundi.

🇰🇪 3. Baada ya kuingia barabarani, Rais William Ruto imebidi awaite wabunge wa upande wa Serikali (Kenya Kwanza) wajadili na kukubaliana kuondoa jumla ya tozo 14.

🇹🇿 3. Wananchi wanalalamika lakini wanaendelea kulipa. Baadae Rais anasema hajawahi kuona Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba anasifiwa. Ni kulaaniwa, apige kazi tu.

🇰🇪 4. Ruto amesema mapendekezo yameondolewa kufuatia zoezi la ushirikishwaji wa umma ambalo lilishuhudia Wakenya wakiibua upinzani dhidi ya mapendekezo hayo.

🇹🇿 4. Wananchi hata wakishirikishwa, hawaelewi nguvu zao, bado kuna wengine wanasema siasa haiwahusu, hawajui kuacha kushiriki ndiyo ahueni kwa serikali ya CCM.

🇰🇪 5. Awali Ruto aliwaita wabunge wa Kenya Kwanza, Ikulu ili kuwashinikiza kupitisha muswada huo wa sheria ya fedha, wabunge hao wamemkatalia baadhi ya tozo.

🇹🇿 5. Watanzania wao wanaamini ni wajibu na jukumu la CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe na Tundu Lissu kuwapambania kuhusu ugumu wa maisha yao.

🇰🇪 6. Wabunge hao wamemueleza Rais Ruto kwamba, watapitisha muswada wa sheria ya fedha ikiwa kelele za wakenya zitazingatiwa. Serikali imeondoa tozo 14 tata.

🇹🇿 6. Wabunge wa Tanzania wao kila linapotajwa jina la Rais wanapiga makofi, hawasomi vifungu vya bajeti, wanaunga kila hoja mkono na wanapitisha. Hawakuchaguliwa.

🇰🇪 7. Tozo zilizoondolewa; 16% ya VAT kwenye mkate na usafirishaji sukari, huduma za fedha na miamala ya kigeni, mafuta ya kula, bidhaa za ndani, kusajili biashara. Etc.

🇹🇿 7. Tanzania bado tozo zipo nyingi na katika bajeti ya 2024/25 zimeongezwa tozo nyingine na waliongezewa tozo na kodi hawana habari wao ili mradi wanapumua tu.

🇰🇪 8. Wananchi wa Kenya hawaogopi polisi, maandamano wameitisha wenyewe na wameingia barabarani hadi Rais na wabunge wake wamewasikiliza hoja zao.

🇹🇿 8. Pamoja na kwamba polisi wa Tanzania ni katili lakini hata katika maandamano ya ambayo yanalindwa na polisi vizuri watanzania wanapunga mkono kwa mbali.

🇰🇪 9. Kenya, unawaona vijana wadogo wa kike na wa kiume barabarani, wamebeba mabango yenye maandishi yanayotaka serikali iondoe muswada huo wa sheria ya fedha.

🇹🇿 9. Tanzania, wasichana na vijana wamejazana katika kumbi za starehe wanashindana kuvuta shisha hawajui kama bajeti ya nchi yao imepitishwa na tozo na kodi kibao.

🇰🇪 10. (GDP) ya Kenya ni $113.4 billion (2022). GDP per capita ni $2,099.30 (2022). Wananchi wa Kenya wameingia barabarani, uchumi mkubwa wa nchi, hauwagusi wananchi.

🇹🇿 10. GDP ya Tanzania ni $75.7 bilioni (2022). GDP per capita ni $1,192.77 (2022). Kenya wapo juu kiuchumi na wameingia barabarani, watanzania wanamwaga pongezi kwa Rais.

Martin Maranja Masese, MMM.
Hyo namba 7 nimesikitika sana..
Any way kikubwa tunapumua hahaha
 
we are zombies, like fools we are cheering “Mama anaupiga mwingi”
 
Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi

Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio maaan Hadi leo tumelala na tunapelekeashwa vilivyo na hakuna tunaweza fanya wanao

Imagine bandari ,na madini inauzwaa na Bado tunawapigia makofi walio uza na kuwatetea wanao uzaa HV hzi Ni akili au maiti

Tuseme ukweli watanganyikaa Ni maiti zilizo lala
Ni kweli na hakuna wa kutuamsha mpaka kiyama.
 
Back
Top Bottom